Tuongee na mengine

Tuongee na mengine

Msameheni bure si kosa lake ni ugeni huo naamini amewaelewa
 
yy hajui jukwaa jingine zaidi ya hili yan anajua akingia jf anaenda moja kwa moja hapa hajui kuwa yapo na majukwaa mengne,.ni kumsaidia tu hakuna sbb ya kumponda

hapo umemlenga.
 
mbona suala la kazi lime kuwa ndio mada kuu? Tuongee na mengine

Mengine yapi, hebu tutokee hapa na pumba zako kwanza unaonekana wewe ni kula kulala tu
 
mbona suala la kazi lime kuwa ndio mada kuu? Tuongee na mengine



sina uhakika ila nadhani umetumwa kutuchokoza ss ambao bado tunatafuta ajira.
maana hatujakuelewa unamaanagani kuandika hivyo.
HUWEZI KUTUKATISHA TAMAA.

KWA MSAADA WA MUNGU KAZI TUTAPATA TU







MTAFUTAJI HACHOKI. HATA KAMA AKITUKANWA.
 
Back
Top Bottom