Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Mechi za home and away CAF ndo watajua umuhimu wa ManaraManara ni 1 ya aina ya Wananchi ambao roho huwa inaniuma sana kuwa hatuna bado utaratibu mzuri wa kusheherekea watu wetu kwa Mapungufu/Mazuri yao...
Hakua anatunge ile misemo yeye ile ulikua inabuniwa na jopo la wanahari wapale msimbazi afu yeye anakuja kuongea publicmechi za home and away CAF ndo watajua umuhimu wa manara
Kiburi siyo maungwanaila sio tiketi ya kuwa na kiburi na kukiuka miiko ya kazi? Hata Magufuli alikuwa jembe lakini alipoleta dharau na ukatili,bwana akamtwaa
ila sio tiketi ya kuwa na kiburi na kukiuka miiko ya kazi? Hata Magufuli alikuwa jembe lakini alipoleta dharau na ukatili,bwana akamtwaa
kazi yake.....haina makosaila sio tiketi ya kuwa na kiburi na kukiuka miiko ya kazi? Hata Magufuli alikuwa jembe lakini alipoleta dharau na ukatili,bwana akamtwaa
Kwa hiyo tufanyeje??.Manara ni 1 ya aina ya Wananchi ambao roho huwa inaniuma sana kuwa hatuna bado utaratibu mzuri wa kusheherekea watu wetu kwa Mapungufu/Mazuri yao.
That guy, amechangia kuongezeka uzalendo wa Mshabiki kwa timu zao, haswa Yanga na Simba Kamaliza vibaya ila haibadili mchango wake.
Manara kaacha alama Simba tena kubwa tu basi kiherehere kimemponza na kushindwa kusoma alama za nyakati, aliitendea haki nafasi yake.
Alilewa sifa.Ukweli mtupu umenena ila,kwa weredi wake huo na ukubwa wa jina lake ulimfanya awe na kiburi,mfano wa kiburi cha Haji ni kufokea waandishi wa habari baadhi yao kuwaambia anatamani wasije kwenye press zake.
Kingine ni kutoa maneno machafu kwa bosi wake,lakini akuhishia hapo voice note yake ya pili anasema hivi"hawa watu ni wabaya sana wanaweza kuniwekea hata unga au kinifanyia kitu kibaya"hao watu wanaoweza kumfanyia Haji kitu kibaya ni Mo, Barbara na Hanspop au ni kinanani hao?
mmeanza kufitinishaMo snitch
Barbara a ho
Manara idiot..
Ezekiel Kamwaga much respect
Alilewa sifa akidhani kaajiriwa na mashabiki.
Akwendreeeee simba ni kubwa kuliko mtu. Ametoka lkn simba itabaki palepale ilipo pengine itapaa zaidi.
Alafu yule ni Snitch!!!
Traitor!!!!