Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

greater than
LuisMkinga
Mayu
Tafakari_nami

Kuna hiyo paragraph ya mwisho.
Someni vizuri.

#YNWA
HAKUNA.
Kuwaambia hawa vijana waweke vibuku 10 vyao ili wawe matajiri ni Uongo mkubwa.

#YNWA
Wewe haya maneno ya kusema vijana wanadanganywa wawekeze 10k kwenye UTT ili watajirike umeyatoa wapi mkuu?
Wanadanganywa na nani? Ili iweje?
Ndio maana nikasema huna unalolijua kuhusu hii field Kama kweli unajua vizuri hii field huwezi kusema hizi ni BIASHARA za kujitafuta
Security Bond hazina longo longo kusema utamdanganya mtu, ni mwendo wa asilimia tu ya unachowekeza na muda..... PERIOD

Ni kutokujua kwako tu kulikufanya kwenda kununua security bond za buku halafu ukategemea kupata faida kubwa kiulaini huku umelele kitandani mwako halafu unakuja kulia lia hapa kwamba financial market ya Bongo SIO RAFIKI NA HAIFAI
Kwasababu ulipaswa kujua exactly utapata sh ngapi kwa mwaka kabla hata hujawekeza

Acha kupotisha Hakuna taasisi inayopita mitaani na kwenye media kutangaza UTT ndio suluhisho la umasikini wa vijana
Vijana wanasisitizwa wajiajiri kwenye biashara, kilimo na services
 
sahihi kabisa uanze ukiwa high school
 
Hizi hesabu ni za kilimo cha matikiti, uliza Kwanza spare parts na service ndio ujuwe gharama za uendeshaji wa vyombo vya Moto.
Dr wewe unajua vya udokitari kama kweli we ni medical, nasisi tunajua hayo ya kwetu ya jua kali, gari used kutoka japan haisumbui vipuri kwa haraka haraka angalau mpaka miaka miwili, ukiwa unafanya service kwa wakati, hizi kazi zetu tunazijua.
 
Hizo money market ni kwa ajili ya vilema wa akili.
Watu wengi sana hatuna elimu ya haya mambo na ndio maana zinazalishwa zana nyingi sana za ajabu ajabu kama hizi

Shemeji yangu alifariki akaacha kama milioni 600 bank
Alikua na mke na watoto mapacha wawili.
Ukoo ulivutana sana nini kifanyike kuhusu na hizo hela

Mimi nikawashauri hela iwekwe Fixed acc bank iwe inatoa hela ya kujikumu hadi baadae tukitulia tutajua cha kufanya
makaka wakapinga sana kuwa huwezi kulaza hela nyingi hivyo bank ni UZEMBE

Mwisho wa siku ikaamuliwa
Mama mzazi apewe 50M.
Makaka 2 wapewe 100M wazungushe hela hadi watoto watakapo kuwa watu wazima
Mke wa marehemu akapewa 100M aanzishe biashara ya kujikimu
Halafu 300M ndio iwekwe fixed acc, rate yake ilikua 9.5%
Hapo kwa mwaka faida ni 28,500,000 na ikawa inagawanywa kwa miezi 12 ili ichukuliwe kila mwezi 2.3M

Baada ya mwaka tu mke wa marehemu biashara zake zote chalii 100M ikapotea.
Makaka wa marehemu ndio kabisa sijui walikwenda kununua mazao ikakatika 100M yote.

Sasa hivi familia ya marehemu wanaishi kwa kupokea 2.3M kila mwezi ya ile 300M kwenye fixed Acc, ndio pona pona yao vinginevyo wangeanza kuuza mali za marehemu
Watoto ndio kwanza wana miaka 10
Limepita AZIMIO hiyo hela asiguse mtu yeyote ibaki huko huko fixed Acc hadi watoto watakapo kwa watu wazima
 
s
Kwani ni lazima matunda ya uwekezaji uyafurahie wewe? Fanya kwa ajili ya kizazi chako.watoto na wajukuu zako
hilo ndio kosa tunalolifanya wengi hii ni kwaajili ya kizaz chako na unatakiwa uwafundishe watoto wako wajue kabisa na wao waendeleze hio knowledge kwa watoto hii ni njia ya kupambana na umasikin kwenye kizaz chako wenzetu wazungu wanakitu wanarithishanaga kinaitwa trust fund ambapo babu la mababu ndio lili invest kitambo inabak inaendelea kwenye generations sis huku tunarithishana magari na manyumba
 
Sasa unampa mke 100m afanye biashara ataweza kweli hapo ndo mlibugi sanaa........hao wanawake zetu tunao oa kinacho wauuza ni tako tu nje yahapo hawawezi chochote wale makaka ni tamaa za pesa hawakupashwa kupewa chochote.
 
Sawa mkuu mjuaji wa kila kitu.
Acha Sisi wapumbavu tuendelee kutokujua.
Baadae karibu castle lite hapa Mbeya pazuri au NASOMA.

#YNWA
 
Sawa sawa.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…