Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
😁😀😃Hizo money market ni kwa ajili ya vilema wa akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😀😃Hizo money market ni kwa ajili ya vilema wa akili.
Siwezi kujuwa Vitu vya kipuuzi, tulikuwa na ONTARIO humu Mzee wa Jangid Plaza waulize matutusa wenzako kilichowapata.Kuhusu Forex/Crypto nakukatalia hujui chochote
Wewe haya maneno ya kusema vijana wanadanganywa wawekeze 10k kwenye UTT ili watajirike umeyatoa wapi mkuu?HAKUNA.
Kuwaambia hawa vijana waweke vibuku 10 vyao ili wawe matajiri ni Uongo mkubwa.
#YNWA
You will never make it through such phrases brother.Thanks Taicoon mwenye elimu yake mjini.
#YNWA
sahihi kabisa uanze ukiwa high schoolHii inabidi uanze mara baada ya kuajiriwa na tena uwe na financial mentor (wa bure lkn) unayemsikiliza na kumheshimu hasa![]()
Otherwise ile mihemuko ya kuanza kushika hela yako mwenyewe utataka ujaribu kila kitu, uwe kila mahali, ununue kila unachokifikiria kichwani hata kama hukihitaji; hutoboi![]()
mbona fedha ya mafao ya watumish haiporomoki thaman ? maana nayo hukusanywa 30 yrsLakini baada ya hiyo miaka 30 fedha itakuwa imeporomoka thamani sana.
Dr wewe unajua vya udokitari kama kweli we ni medical, nasisi tunajua hayo ya kwetu ya jua kali, gari used kutoka japan haisumbui vipuri kwa haraka haraka angalau mpaka miaka miwili, ukiwa unafanya service kwa wakati, hizi kazi zetu tunazijua.Hizi hesabu ni za kilimo cha matikiti, uliza Kwanza spare parts na service ndio ujuwe gharama za uendeshaji wa vyombo vya Moto.
Kwani ni lazima matunda ya uwekezaji uyafurahie wewe? Fanya kwa ajili ya kizazi chako.watoto na wajukuu zakosahihi kabisa uanze ukiwa high school
Watu wengi sana hatuna elimu ya haya mambo na ndio maana zinazalishwa zana nyingi sana za ajabu ajabu kama hiziHizo money market ni kwa ajili ya vilema wa akili.
hilo ndio kosa tunalolifanya wengi hii ni kwaajili ya kizaz chako na unatakiwa uwafundishe watoto wako wajue kabisa na wao waendeleze hio knowledge kwa watoto hii ni njia ya kupambana na umasikin kwenye kizaz chako wenzetu wazungu wanakitu wanarithishanaga kinaitwa trust fund ambapo babu la mababu ndio lili invest kitambo inabak inaendelea kwenye generations sis huku tunarithishana magari na manyumbaKwani ni lazima matunda ya uwekezaji uyafurahie wewe? Fanya kwa ajili ya kizazi chako.watoto na wajukuu zako
Sasa unampa mke 100m afanye biashara ataweza kweli hapo ndo mlibugi sanaa........hao wanawake zetu tunao oa kinacho wauuza ni tako tu nje yahapo hawawezi chochote wale makaka ni tamaa za pesa hawakupashwa kupewa chochote.Watu wengi sana hatuna elimu ya haya mambo na ndio maana zinazalishwa zana nyingi sana za ajabu ajabu kama hizi
Shemeji yangu alifariki akaacha kama milioni 600 bank
Alikua na mke na watoto mapacha wawili.
Ukoo ulivutana sana nini kifanyike kuhusu na hizo hela
Mimi nikawashauri hela iwekwe Fixed acc bank iwe inatoa hela ya kujikumu hadi baadae tukitulia tutajua cha kufanya
makaka wakapinga sana kuwa huwezi kulaza hela nyingi hivyo bank ni UZEMBE
Mwisho wa siku ikaamuliwa
Mama mzazi apewe 50M.
Makaka 2 wapewe 100M wazungushe hela hadi watoto watakapo kuwa watu wazima
Mke wa marehemu akapewa 100M aanzishe biashara ya kujikimu
Halafu 300M ndio iwekwe fixed acc, rate yake ilikua 9.5%
Hapo kwa mwaka faida ni 28,500,000 na ikawa inagawanywa kwa miezi 12 ili ichukuliwe kila mwezi 2.3M
Baada ya mwaka tu mke wa marehemu biashara zake zote chalii 100M ikapotea.
Makaka wa marehemu ndio kabisa sijui walikwenda kununua mazao ikakatika 100M yote.
Sasa hivi familia ya marehemu wanaishi kwa kupokea 2.3M kila mwezi ya ile 300M kwenye fixed Acc, ndio pona pona yao vinginevyo wangeanza kuuza mali za marehemu
Watoto ndio kwanza wana miaka 10
Limepita AZIMIO hiyo hela asiguse mtu yeyote ibaki huko huko fixed Acc hadi watoto watakapo kwa watu wazima
Sawa mkuu mjuaji wa kila kitu.Wewe haya maneno ya kusema vijana wanadanganywa wawekeze 10k kwenye UTT ili watajirike umeyatoa wapi mkuu?
Wanadanganywa na nani? Ili iweje?
Ndio maana nikasema huna unalolijua kuhusu hii field Kama kweli unajua vizuri hii field huwezi kusema hizi ni BIASHARA za kujitafuta
Security Bond hazina longo longo kusema utamdanganya mtu, ni mwendo wa asilimia tu ya unachowekeza na muda..... PERIOD
Ni kutokujua kwako tu kulikufanya kwenda kununua security bond za buku halafu ukategemea kupata faida kubwa kiulaini huku umelele kitandani mwako halafu unakuja kulia lia hapa kwamba financial market ya Bongo SIO RAFIKI NA HAIFAI
Kwasababu ulipaswa kujua exactly utapata sh ngapi kwa mwaka kabla hata hujawekeza
Acha kupotisha Hakuna taasisi inayopita mitaani na kwenye media kutangaza UTT ndio suluhisho la umasikini wa vijana
Vijana wanasisitizwa wajiajiri kwenye biashara, kilimo na services
Okey.Sasa na mimi nataka ninue tipper nifanyeje na nina uhakika wa kupata aftatu kwa siku ?
Sawasawa Tajiri.Huyu hajibu hoja, unapoteza nguvu zako tu, ana unyani ule ambao mtikila alikuwa akiusema
Baadae karibu Mbeya pazuri au NASOMA tupate castle lite baridiiii.Kwani financial market ya nje inaweza mfanya mtu awe tajiri ?
Sawa Tajiri mwenye maarifa muongoza nchi.Huyu ndio mkuu wa kitengo huko halmashauri, hakika huko serikalini kumejaa watu wasio na uwezo
Tajiri baadae karibu tupige vyomboo.Mkuu,
Mi nimesomea Uhandisi,
Nashangaa unavyoogopa kujibu maswali yangu wakati wewe una Masters ya uchumi na uwekezaji...
Anza kujibu, mi ntajibu yako yote...yani bila kupepesa..
... alianzaga na mil 100Na
dhan ni mtaji
Leo oficini nimekaa mabos zangu wanapiga story kua kuna jamaa yao kaweka government bond kila mwezi ana milion 10 yake.
Alianzaga na milion 100
Sawa sawa.Ni wapi wameambiwa wawekeze wawe matajiri? Umemtolea mfano boda boda,ila nikukumbushe hata huyo boda boda anaweza kuwa na malengo kupitia hyo mifuko kwa kuchagua option ya kukuza mtaji wake. Hizo hizo buku 5 unazo ziponda akiziweka kwa nidhamu kwa muda wa miaka miwili anaweza kufikia malengo yake..
SawasawaTatizo unakimbia maswali,,dhihirisha usomi wako mbele ya kadamnasi mkuu...
Nimekuuliza maswali takribani 10 na haujajibu hata moja....