Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

Naam mkuu. Tunatakiwa ku break generational poverty. Tudundulize kidogo kidogo,wanufaika wawe watoto wetu na wajukuu.
 
🤔🤔🤔🤔🤔
 
Miaka 30 ijayo value ya million mia nne si itakuwa sawa na 4/40 millioni tu ?
 
Mleta mada umezungumza mengi hapo kuhusu soko la pesa la Tanzania ukidadavua vyema kuhusu HISA,vipande na bond za serikali.. ..

Nimejaribu kufikiri kitu kimoja kwa sasa umeamuwa kuwekeza kwa kununua vipande vya FAIDA FUND baada ya kutapatapa huku kwingine..Kuna mifuko ya UTT AMIS inatoa gawio sawa au zaidi ya FAIDA FUND sasa nashindwa kukuelewa UTT unawapondea nn akati ndoo vile vile Jielimishe zaidi elimu ni bahari


Jambo la msingi zaidi katika elimu yako nikukumbushe ni kuwa Ili upate pesa zaidi unatakiwa uiwekeze zaidi katika sehemu mbalimbali Ili upate zaidi.Watu wanapowekeza wanakuwa na malengo ya muda mrefu na hata kabla ya kuwekeza katika hizi sehemu wanasisitizaga Sana "ELIMU ELIMU ELIMU" Kwamba kama ni mpambanaji sio kwamba hela yako yoote ndo utaiweka huku lazima uwe na shughuli kadha wa kadha za kukuingizia kipato .Pia ni bora kuweka huku hela usiyoitumia iongezeke thamani kuliko ikae nyumbani au benki tu inapopungua thamani (Makato, inflation)

MWisho unapokua na maono juu ya jambo fulani lenye manufaa kwako usiyumbishwe na mafanikio ya wengine badala yake jifunze na Ishi kulingana na mazingira yako .Kuwafikia kina Warren Buffett n.k Ni ngumu hivyo tufanye kulingana na uwezo, kipato na mazingira yetu hata kama ni kidogo ila chenye manufaa ni kizuri.
 
Deni la Taifa ni takribani Tsh 87 trillion...
Mikopo ya Ndani ni takribani 40 trillion...
Wakopeshaji wakubwa wa serikali ni Mabenki na Waarabu na Wahindi wa Bongo...
NMB na CRDB zinapiga faida ndefu kwa kuikopesha serikali kuliko mikopo ya biashara.
Kwa kukosa elimu ya uwekezaji,tumeweka rehani uchumi wetu mikononi mwa wahindi na waarabu...ambao wao ndiyo wafaidika wakubwa...
 
Nyinyi ni Kabila gani? Kaka anaingiaje kwenye urithi wakati urithi ni wa mke na mtoto?

Huyo mke hajitambui kabisa, Kaka anaweza kuwa msimamizi wa mirathi tu na siyo mnufaika otherwise kuwe na wosia wa marehemu Kwa mwanasheria.
 
1.Je,kuna tangazo lolote limeshawahi kuwepo kuhimiza watu watatajirika kwa low risks financial markets...

2.Kuna umuhimu wa watu kuwa na uelewa wa financial markets ili kusambaza vipato vyao...
 
Hayo masoko ya nje mnawekezaje ??
 
Nyinyi ni Kabila gani? Kaka anaingiaje kwenye urithi wakati urithi ni wa mke na mtoto?

Huyo mke hajitambui kabisa, Kaka anaweza kuwa msimamizi wa mirathi tu na siyo mnufaika otherwise kuwe na wosia wa marehemu Kwa mwanasheria.
Mkuu ni story ndefu
Kuifupisha ni kwamba mama wa nyumbani si unawajua tena
Jamaa wakaja na wazo kwamba wafungue kampuni kuendelea kuzungusha hela ya marehemu hadi watoto watakapo kuwa watu wazima wakute mradi umeongezeka na mahela kibao waje kurithu kuliko kuilaza tu hela bank
Wenye akili tulijua ila hatuna sauti tukapiga kimya
 
Yani ufunguwe kampuni Kwa pesa za Marehemu?

Wabongo tuna matatizo Sana, au ni Wajita nyinyi?
 
Mr Liverpool kitendo cha kusema tu June 2023, uzi ulitakiwa uishie hapo.
Kitendo cha kusema IQ option ukafanya forex tena kwa dollar 200.
Hapo tu uzi wako ulitakiwa uishie. Nakushauri, endelea na biashara yako ya milioni 40
Doller 200 kidogo sana kwenye Forex ,.mwaka 2015 wakati naanza baada ya kupata mchongo huo kwa Mcanada niliteketeza dollar 2500 ya Urithi[emoji23][emoji23]
 
Kwa value ya pesa yetu kwa sasa millioni 100 ya 2000 enzi hizo ingefanya mambo makubwa kuliko ya 2024.

Si mtalaamu wa uchumi lakini.
huwa na wana include inflation kwenye calculations zao sana sana thaman inazid kuongezeka with time ngoja niingie class kabisa niwe certified guru nianze kutoa hii elimu bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…