Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

Yani mtu unaweka pesa UTT afu unashangaa unapata 100k kwa mwaka afu unasema una elimu ya fedha, hivi kipindi anaweka hakujua au ? Maana kila kitu Kiko wazi.

Kwani akiweka pesa kwenye mutual funds za nje huko au treasure bond, kwa pesa hiyo unadhani atakuwa billionaire kwa mda kama huo ??
 
Anafikirisha sasa hivi mfano akienda nunua bond za huko nje, kwa mfano wa hiyo pesa yake aliyopata gawio ya UTT 100k kwa mwaka, nadhani haifiki hata 2M ndio apeleke kwenye bond za nje hivi ndio atapata faida ya maana kweli ?

Kwa akili yangu fupi najua nchi zilizo kwisha endelea kwenye treasure bond ziko chini kuliko nchi zinazoendelea.

Anyway labda mzaweza nisahihisha
 
Kabisa ukiwa na 50 million badala ya kuweka UTT bora kujenga lodge hata ya 6 rooms itakulipa kwa muda mfupi tu
 
Ila mkuu,
Kuna mdau kakukumbusha juu ya Compund interest, ana hoja...
Mana hesabu haifanyiki kama ulivyo ainisha wewe...
Piga compound Interest, tumesoma O'level na Advance
 
Omeongea point sana mkuu,,,
Binafsi nafkiri mleta mada Alitakiwa ajue hilo....
 
Hakuna utajiri wa kutisha, ila umekumbushwa hesabu zake hazipigwi hivyo...
Kwenye mifuko ya fedha yote ,hutumia Compound interest hata mabenki...
So Calculations zako ni uongo, kubali kama umekosea...
Ilipoanzia hoja ya jamaa kule kataja utajiri wa kutisha, kwenye Scaling ya return nakubali ila utajiri ndio nimepinga
 
Ilipoanzia hoja ya jamaa kule kataja utajiri wa kutisha, kwenye Scaling ya return nakubali ila utajiri ndio nimepinga
Aha,hapo nimekuelewa,,
Ila binafsi nina mashaka na elimu ya mleta mada...
Yani kasoma uchumi,halafu anasema Bongo hakuna kampuni ambayo ukimiliki 1% ya hisa zake ni inaleta mshiko mrefu...
Dah ,arudishe vyeti vyote.
 
Inaonekana hata Hisa ajui ni nini pia na tofauti zake 1% ya NMB ufanyi kazi milele unakula bata tu kila kiwanja
 
Aha,hapo nimekuelewa,,
Ila binafsi nina mashaka na elimu ya mleta mada...
Yani kasoma uchumi,halafu anasema Bongo hakuna kampuni ambayo ukimiliki 1% ya hisa zake ni inaleta mshiko mrefu...
Dah ,arudishe vyeti vyote.
Kujua hilo linahitaji elimu kwanini watu mnapenda kuponda wenzenu, mtu akiwa na elimu appreciate him, na kua na elimu sio kujua kila kitu.
 
Yani nakaa nafkiria kama alikuwa anaingia darasani kweli...
Kumiliii 1% ya hisa ni anachukulia simple...

Kwenye Bonds,sijui hata anafuagiliaga za huko nje, dah...!?
 
Ilipoanzia hoja ya jamaa kule kataja utajiri wa kutisha, kwenye Scaling ya return nakubali ila utajiri ndio nimepinga
mkuu UTT wana calculator yao ukiweka 150,000 kila mwez kwa bila kuwithdraw kwa miaka 30 unsish na zaid ya milion mia nne hii knowledge watu wanalipiaga hela tuko hapa tunabishana kipimbi after all ku save 150,000 kila mwez kwa 30yrs is not for beginners inahitaji constancy na discipline so sio utajir mrahis pia
 
Kujua hilo linahitaji elimu kwanini watu mnapenda kuponda wenzenu, mtu akiwa na elimu appreciate him, na kua na elimu sio kujua kila kitu.
Mkuu...
Soma post yake kwanza...utaona
Kajigamba kama kasoma uchumi na uwekezaji, tena kataja ana Masters...
Kataja hadi kampuni kama ya NICOL

Kasema bongo hakuna kampuni ambayo 1% ya hisa zake inaweza badili maisha yako...

Kwa mtu aliyesoma uwekezaji hadi masters ,hakupaswa kuleta hizo kauli...
Anafikirisha sana.
 
Haya Twende kwenye mada..

Je kuna ""Kuna financial instrument yoyoteee inayoweza kumfanya huyu kijana wa ki Tanzania mwenye kipato cha chini akawa tajiri?""
Au
""Je, soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) linaweza kumfanya kijana akawa tajiri kwa mtaji wako mdogo?"

tujikite hapo.

hiyo namba 5 nadhani "Achia wazazi wangu waliolipa ada"

#YNWA
 
Jibu maswali yangu kwanza....hapa ni hoja kwa hoja.
Ndiyo mjadala wa kiungwana unavyoenda.
 
S
Sasa si Bora ukanunue shamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…