Sharbel
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,393
- 2,759
Yani mtu unaweka pesa UTT afu unashangaa unapata 100k kwa mwaka afu unasema una elimu ya fedha, hivi kipindi anaweka hakujua au ? Maana kila kitu Kiko wazi.Mlioweka hela utt mlivomshambulia jamaaa sasa[emoji3]
Ukiweza kutofautisha hivi vi4 utagundua kila mtu anakuwa amefanya best decision kwake
1. Business vs investment
2. Active vs passive
3. Mtu mwenye muda na nafasi ya kuwa active kwenye biashara vs asiye na muda kabisa, probably kaajiriwa
Kwani akiweka pesa kwenye mutual funds za nje huko au treasure bond, kwa pesa hiyo unadhani atakuwa billionaire kwa mda kama huo ??