Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

hio weka mpunga sahau ata 30 years, ukishakua above 30 investment ya UTT bi kwaajili ya kusaafu kibos yan uneemeke at your 50s nakuendelea kwa saiv wewe invest kwaajili ya watoto wako wawe madon at their early 30s, kiufupi wewe hapo huusiki kabisa na benefit za hio mifuko kwa saivi kwenye kukokotoa interest rate time is the main factor ila wengi wana ignore hio
Unamzungumzia nani astaafu kiboss?
Unamzungumzi mkurugenzi/boss wako au mdada wenu wa kazi?

Yaani bodaboda wa kupata buku 10 kwa siku unamdanganya aende UTT akawe tajiri?

#YNWA
 
unauhakika kozi ulisomea uchumi mkuu? Compounding interest unaielewa vyema inavyo piga kaz there is no wonder ulipigwa forex inaonekana unapenda utajiri wa chap kitu ambacho kimewaponza kina meek mill
 
Umeelewa nilichoandika?
Anyway:-
Nimekwambia Niko na masters, Bach ma dip unadhani kuna neno la kwenye makaratasi SILIJUI?

Hata hivyo, umesema kuhusu ""Making money while sleeping"" Ila chakukushauri, hakikisha kwanza Una active income nyingi then ndio uingie hizo passive income.

Kuna tajiri huko anamiliki hisa za FB, Apple na nyengine kwa asilimia 3 tu, Ila kwa bongo MONEY MARKET BADOOO SANAAAAA.

#YNWA

Sasa kama umesoma up to masters level I assume unayafaham haya yote, hukutakiwa hata kuanzisha hii debate au kudiscourage wanaowekeza huko hata kwa udogo wa investments zao…Kwenye issue za personal finance and investments , there is no right or wrong, decisions zinategemea na malengo ya mtu binafsi, kwa mfano mm nina 2M zangu huwezi ukaniambia nisiweke Utt niweke kwenye bussiness huwezi jua , malengo yangu ni nn au strategies zangu ni zipi…Kusema Money Market yetu bado sanaaa ni kweli ndio tunaendelea kukua huwezi kulinganisha DSE na NYSE ,LSE au HKSE…But kuna hatua tumepiga tofauti na 5-10 yrs back, kuna watu wamemake Millions through Money Markets za Tanzania, huwezi kuundermine the progress!!….
 
Kwani ukimiliki share hio 3% ya NBC, Twiga Cement hapa Tz hauwi tajiri au unachanganya aina ya Share.

Kwenye hii mada mtoa mada umechanfanya sana vitu hata Active na passive income umechanganya...unawekeza UTT bila hata kuijua UTT yenyewe na una serve nini.

Hasa kitu kama UTT mcnganyuo wa gaqio upo hata kabla mtu ujawekeza let say gawio 10% kwa mwaka then wewe unaweza million 2 yako unakuja kulalamika baadae huku ni kuonesha kutokujua unafanya nini.

Alafu nani aliyekwambia UTT lengo kumfanya mtu awe tajiri, mimi sijawai kuweka UTT wala Fixed ila kwa uwelewa wangu mdogo tu Kwa uwezaji wa kimasikini kabisa umekosa na kukosa ndio hauna namna uwe na atlesat 50 Millions to 100 Million sasa wewe unaweka milioni sijui milioni 2 unapata 100K unalalama hii 100K hukufanya mahesabu kabla.

Then ukarukia FOREX, forex ni Active income is kind of financial Business how come utoke kwenye Passive income kwamaana pesa ambayo umeizalisha kwenye already physical income source ulizonazo na kuweka kwenye financial asset ambazo bi passive income kama UTT uone haija work out unaipeleka tena kwenye Forex ambayo ambayo ni Active income.....Hapa kunaonesha hata ROAD MAP ya njia zako huna hujui unafanya nini kabisa.

Hata nikikuuliza pia hapo tofauti ya CRYPTOCURRENCY na FOREX kwenye misingi ya Income hujui tofauti zake I swear.
 
Huyo naye ana jambo lake tu, kwamba unataka kuniambia mutual funds za wazungu zinazidi 15% kwa mwaka ??. Anyway labda mimi ndio kilaza, basi kama ndio wasomi wetu ndio hawa tuna safari ndefu
 
Kwani ukimiliki share hio 3% ya NBC, Twiga Cement hapa Tz hauwi tajiri au unachanganya aina ya Share.

Kwenye hii mada mtoa mada umechanfanya sana vitu hata Active na passive income umechanganya...unawekeza UTT bila hata kuijua UTT yenyewe na una serve nini.

Hasa kitu kama UTT mcnganyuo wa gaqio upo hata kabla mtu ujawekeza let say gawio 10% kwa mwaka then wewe unaweza million 2 yako unakuja kulalamika baadae huku ni kuonesha kutokujua unafanya nini.

Alafu nani aliyekwambia UTT lengo kumfanya mtu awe tajiri, mimi sijawai kuweka UTT wala Fixed ila kwa uwelewa wangu mdogo tu Kwa uwezaji wa kimasikini kabisa umekosa na kukosa ndio hauna namna uwe na atlesat 50 Millions to 100 Million sasa wewe unaweka milioni sijui milioni 2 unapata 100K unalalama hii 100K hukufanya mahesabu kabla.

Then ukarukia FOREX, forex ni Active income is kind of financial Business how come utoke kwenye Passive income kwamaana pesa ambayo umeizalisha kwenye already physical income source ulizonazo na kuweka kwenye financial asset ambazo bi passive income kama UTT uone haija work out unaipeleka tena kwenye Forex ambayo ambayo ni Active income.....Hapa kunaonesha hata ROAD MAP ya njia zako huna hujui unafanya nini kabisa.

Hata nikikuuliza pia hapo tofauti ya CRYPTOCURRENCY na FOREX kwenye misingi ya Income hujui tofauti zake I swear.
Mkuu lakini ana masters, dohh elimu yetu ni changamoto mkuu
 
Para ya kwanza, umeandika kitu cha maana. Kabla hujaweka pesa ulijua utapata 12%, umalize kuweka ulalamike nimepata faida kidogo hahahaha.

Msomi wa uchumi hapa napo anatakiwa kufafanua alikuwa anamaanisha nini
 
Mtihani huu mkuu, imagine wengine tupo UTT kukuza mtaji, labda mfano nikifika 5M nikafanyie biashara afu anakuja fungua nyuzi kutusema
 
Wengi wanawekeza kule sababu wanapesa - na hawajui wazifanyie nini..
Ukweli ni SOKO la MITAJI Tz - CAPITAL MARKETS - bado dogo sana, players wake ni wachache na sio vibrank kihivyo...Ukienda kwenye mutual funds ndo kwanza kunaanza..
Masoko haya yanalipa kama yako active, transactions za baying na selling ziko juu, soko ambalo lina-absorb taarifa na zina reflect automatically...
Hatupaswai kuwakatisha tamaa wadau wanaopambana kuhakikisha hili soko linakua...
Haya masoko yanauhusiano mkubwa sana na economic development ya watu na taifa pamoja na financial literacy ya watu:
 
Kabisa mkuu.
 
Mtihani huu mkuu, imagine wengine tupo UTT kukuza mtaji, labda mfano nikifika 5M nikafanyie biashara afu anakuja fungua nyuzi kutusema
Hahaha mimi nafanya mazoezi, siku nikipata fuba kubwa niwekeze kwenye Gov Bills na Bonds.
Pia naichukulia kama kibubu chenye faida kufikia malengo baadae. Jamaa Uchumi wa Degree diploma na mastars hakufanya ufafiti toshelevu.
 
Back
Top Bottom