Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

Mr Liverpool kitendo cha kusema tu june 2023, uzi ulitakiwa uishie hapo.
Kitendo cha kusema IQ option ukafanya forex tena kwa dollar 200.
Hapo tu uzi wako ulitakiwa uishie. Nakushauri, endelea na biashara yako ya milioni 40
Eti alienda IQ OPTION akaweka dollar 200. 😂😂😂
Oya hakuna biashara rahisi kikubwa ijue hiyo biashara, kuwa na discipline alafu weka consistency.

Dah!! Wabongo sisi, yaani mtu anaponda kitu fulani mpaka watu wengine wanaogopa kukifanya kumbe yeye wala alikuwa hajui nini ana fanya hata.
 
Kwahiyo tunakubaliana kwamba kwa kijana anayejitafuta Leo "Financial market ya bongo sio sehemu yake sahihi ya kuanzia maisha ya kujitafuta?"

Kumwambia mtu aweke 2mil FAIDA FUND au Anunue hisa za Vodacom basi ni Bora akawe mchuuzi k.koo na hizo mil 2?

#YNWA
Mkuu unachokosea wewe ni ile kuifanya kama vile ni “financial market ya bongo” tu ndio sio sahihi kwa masikini kujitafuta

Financial market zote duniani hazina urafiki na MASIKINI

Nimekwambia hata mwenye milioni 2 ambayo ni USD 600 ndani ya USA financial market ya USA sio sahihi kwake kujitafuta
Hii sio issue ya Bongo
 
Haya mwenye diploma turudi kwenye mada Je "Financial market ya bongo inaweza mfanya mtu mwenye kipato kidogo kuwa tajiri? "

Ni me state financial market, hivyo unaweza nipa mfano wa financial instrument yoyoteeee.

#YNWA
Mkuu ni financial market ya wapi inayoweza kumfanya mwenye kipato kidogo kuwa tajiri kwa kuwekeza kwenye bond?
 
Mkuu unachokosea wewe ni ile kuifanya kama vile ni “financial market ya bongo” tu ndio sio sahihi kwa masikini kujitafuta

Financial market zote duniani hazina urafiki na MASIKINI

Nimekwambia hata mwenye milioni 2 ambayo ni USD 600 ndani ya USA financial market ya USA sio sahihi kwake kujitafuta
Hii sio issue ya Bongo
Nashukuru kwa kukubali hoja yangu.
Asante.

#YNWA
 
Kwenye uchumi Kila MTU ana maamuzi yake na ndo kinachamua na kututofoutisha katika mafanikio
Na asilimia kubwa maamuzi ya kiuchumi ni probability au niseme ni utabiri au ubashiri
Hakuna mchumi anaweza kukupa jibu la moja moja kwa moja
Lazima akupe factor kadhaa endapo zitafanikiwa na uchumi utaenda hivi

Kila MTU Yuko sawa na mtazamo wake na factor zake

Kwa watu ambao hawana maarifa ya kutosha ya Biashara na pia hawana muda wa Kusimamia Biashara ni vema wakawa wawekezaji kwenye low profit lakini low risk na pia unahitaji large capital
Pia kwa wazee ambao hawawezi Tena misuko misuko ya Biashara

Ila kwa KIJANA unayejitafuta mwenye kamshahara ka kipato chacho let's say elfu 10 20 30 kwa siku
Nashauri
Tumia hiyo Mifuko kuweka akiba kwa ajili ya mtaji sio kuwekeza ni uzembe mkubwa kusubiria faida ya laki kwa millions
 
greater than
LuisMkinga
Mayu
Tafakari_nami

Kuna hiyo paragraph ya mwisho.
Someni vizuri.

#YNWA
 
Eti alienda IQ OPTION akaweka dollar 200. 😂😂😂
Oya hakuna biashara rahisi kikubwa ijue hiyo biashara, kuwa na discipline alafu weka consistency.

Dah!! Wabongo sisi, yaani mtu anaponda kitu fulani mpaka watu wengine wanaogopa kukifanya kumbe yeye wala alikuwa hajui nini ana fanya hata.
Wewe mpaka sasa hivi hujanipa financial instrument itakayomfanya bodaboda awe tajiri..

Sasa kama shida ni elimu, kwanini hiyo elimu usiitafute kwenye hizi active incomes na hasa biashara?

#YNWA
 
greater than
LuisMkinga
Mayu
Tafakari_nami

Kuna hiyo paragraph ya mwisho.
Someni vizuri.

#YNWA
Naungana na wewe.
Kijana tumshuri na atumie mifuko kama Sehemu ya kuhifadhia hela.kuliko kuweka benk ambapo haimletei faida hata kidogo. Akitunza hela kwa mwaka huu anunue shamba mwakani anunue kiwanja. Na vile vyake vingine aweke utt Ili hata ikitokea dharula anaweza akauza Sehemu ya vipande vikawa hela baada ya siku 3.
 
Eti alienda IQ OPTION akaweka dollar 200. 😂😂😂
Oya hakuna biashara rahisi kikubwa ijue hiyo biashara, kuwa na discipline alafu weka consistency.

Dah!! Wabongo sisi, yaani mtu anaponda kitu fulani mpaka watu wengine wanaogopa kukifanya kumbe yeye wala alikuwa hajui nini ana fanya hata.
Hana elimu yyte, alafu anaingia forex tena kupitia iq option. Tena na dollar 200, damn, Sawa unaweza fanya trading na dollar 200 ila risk kubwa sana
 
Government bond ni biashara ya Wahindi, anaweza kuweka B 1 BOT kila mwezi akavuta mshahara wa million kadhaa na pesa inazaa.

Kapuku na biashara ya pesa hakuna kitu kama hicho.

Mambo ya Forex na bit coin sijui ndio cryptocurrency achana nayo kabisa.

Nimemsikia Bongo zozo mara nyingi akidanganya watu kwamba Siri ya yeye kuwa na pesa ya kusafiri duniani ni bit coin, si kweli msiingizwe mkenge huo, wazungu ni fallen Angels huwezi kuujuwa undani wao.

Kwenye ujasiriamali ukiwa na roho ngumu na ukakomaa pesa unaweza kuiona, na kingine Bongo visource vya income unatakiwa uwe navyo vingivingi tu bila kusahau kujenga lodge, hii ndio biashara ya uhakika, starehe ya mafukara NI ngono.
Kuhusu Forex/Crypto nakukatalia hujui chochote
 
Back
Top Bottom