Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Unajua maana ya fedha kuporomoka thamanimbona fedha ya mafao ya watumish haiporomoki thaman ? maana nayo hukusanywa 30 yrs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua maana ya fedha kuporomoka thamanimbona fedha ya mafao ya watumish haiporomoki thaman ? maana nayo hukusanywa 30 yrs
Unajua hizo fedha za utt wanapataje faida ya kukupa ww MWISHO wa mwaka?Naam mkuu. Tunatakiwa ku break generational poverty. Tudundulize kidogo kidogo,wanufaika wawe watoto wetu na wajukuu.
Sijui Kama atakuelewa mkuuEbu ni kujibu mwaka 2000, million 100 ungeweza kununua Fuso tipper engine 16 zenye carbin kubwa 5 na unabakiza balance kule Japan CIF ilikua $10,000 kodi TRA 2.5m exchange rate ilikua 1$ ni 1,100TZ shilling......sasa hivi 100m ya sasa unanunua fuso tipper mayaye au 16 moja tu mpaka Dar port 90 000,000 na unabakiza 10m ambazo zitaisha pia kwenye vibali na matayiri,.......kwahiyo hapa sio sehemu ya kuwekeza longtime investment inflation and unstable economic policies zina ua biashara, sasa hivi exchange rate ni 2300 kwa dollar moja mpaka december dollar itafika sh 3000 au zaidi pesa ya Tanzania inashuka kwa kasi na hamna vya shiria vya kiuchumu ku-recover huvi karibuni
nahis BOT wanaelewa zaid yetu na ule mfuko upo chini yao tuache ujanjaujanja kwenye mambo ya kitaalamu ni kukaa na wataalamu na sio kutumia common sense kwenye mambo ya taaluma wao wanasemaga fact vs common senseUnajua maana ya fedha kuporomoka thamani
Bot wamejaa wstoto wa vigogo hamna think tank wa uchumi mle. Wangekua wsnajua Uchumi wasinge mruhusu JPm kufunga maduka ya kubadilishia pesa ambazo zilikua zina chochea flow of foreign exchange......nahis BOT wanaelewa zaid yetu na ule mfuko upo chini yao tuache ujanjaujanja kwenye mambo ya kitaalamu ni kukaa na wataalamu na sio kutumia common sense kwenye mambo ya taaluma wao wanasemaga fact vs common sense
Uko sahihi purchasing power ya pesa inaenda ikipungua kwa sababu ya inflation.Kuna principle moja ya uchumi ya "the time value of money "
Yaani,Laki moja yako uliyonayo sasa ina nguvu kuliko laki moja utakayokuwa nayo mwakani....
Vitu hupanda bei kila mara,
Heri uweke laki UTT utakauta ongezeko la 10,000 ambayo itafidia upandaji wa bei ,,kuliko ukaificha ndani ya kabati ukaja kuikuta ipo vilevile.
Kwa hiyo Mo ni masikini au tajiri? Tuanzie hapo kwanzaUtajiri wao tunaona sisi masikini wa hapa Afrika ambayo tukiona mtu anaendasha VX tunamuona 1st class.
Mkuu, kwa kifupi sio bongo tu. Dunia nzima financial market kwa mtu masikini haimfai. Hata Ulaya na Marekani, hakuna faida utakayopata. Lengo la financial markets sio kumtajirisha mtu (hizi UTTs na Faida) lengo lake ni kukutunzia pesa zako. Yaani hata ukizihitaji miaka 30 mbele utazipata kama zilivyo na kafaida kidogo. Mutual funds ni securities tu.Kwahiyo tunakubaliana kwamba kwa kijana anayejitafuta Leo "Financial market ya bongo sio sehemu yake sahihi ya kuanzia maisha ya kujitafuta?"
Kumwambia mtu aweke 2mil FAIDA FUND au Anunue hisa za Vodacom basi ni Bora akawe mchuuzi k.koo na hizo mil 2?
#YNWA
Kwetu ni Tajiri lakini Kuna watu wengi duniani wakiamka na pesa yake watajiona maskini.Kwa hiyo Mo ni masikini au tajiri? Tuanzie hapo kwanza
Kwahiyo braza mwerevu UNATAKA NIKUJIBIE CHUMBANI kwa mama ako au hapahapa?Mleta mada naona ni mtu mjinga mjinga na elimu haijamsaidia hata kidogo
Sasa hiyo mil 5 si ungefanyia tu biashara jombaa??Doller 200 kidogo sana kwenye Forex ,.mwaka 2015 wakati naanza baada ya kupata mchongo huo kwa Mcanada niliteketeza dollar 2500 ya Urithi[emoji23][emoji23]
Amen.Kutia 10m UTT sijui NICOL n.k ni heri ununue bajaj ikuletee hata laki 5 mpaka 6 kwa mwezi.
Nahitaji sanaa pesa nyingi, huo usingizi wa shida poa tu acha uje.Utaua na kuridhika vyatosha Sana kukupa usingizi !!
Lakini kupata mapesa kibao Ili ule anasa kunachosha sana hasta usingizi hamna!!
Nahisi kati ya watu wanaoishi Kwa shida duniani ni matajiri!! Sidhani kama wanalala hao watu!!
Thanks.Yani mimi nakazia kwenye elimu yako mkuu,,,
Diploma, Degree na Masters ya uwekezaji halafu ukaenda nunua hisa za VODACOM ukaacha TBL ,TCC,TWIGA....dah.
Unapewa maswali unashindwa jibu, umebaki maneno...
Mfumo wetu wa elimu unahitaji maboresho makubwa sana.
Nikushauri "Diversify your portfolio through business"Mleta mada umezungumza mengi hapo kuhusu soko la pesa la Tanzania ukidadavua vyema kuhusu HISA,vipande na bond za serikali.. ..
Nimejaribu kufikiri kitu kimoja kwa sasa umeamuwa kuwekeza kwa kununua vipande vya FAIDA FUND baada ya kutapatapa huku kwingine..Kuna mifuko ya UTT AMIS inatoa gawio sawa au zaidi ya FAIDA FUND sasa nashindwa kukuelewa UTT unawapondea nn akati ndoo vile vile Jielimishe zaidi elimu ni bahari
Jambo la msingi zaidi katika elimu yako nikukumbushe ni kuwa Ili upate pesa zaidi unatakiwa uiwekeze zaidi katika sehemu mbalimbali Ili upate zaidi.Watu wanapowekeza wanakuwa na malengo ya muda mrefu na hata kabla ya kuwekeza katika hizi sehemu wanasisitizaga Sana "ELIMU ELIMU ELIMU" Kwamba kama ni mpambanaji sio kwamba hela yako yoote ndo utaiweka huku lazima uwe na shughuli kadha wa kadha za kukuingizia kipato .Pia ni bora kuweka huku hela usiyoitumia iongezeke thamani kuliko ikae nyumbani au benki tu inapopungua thamani (Makato, inflation)
MWisho unapokua na maono juu ya jambo fulani lenye manufaa kwako usiyumbishwe na mafanikio ya wengine badala yake jifunze na Ishi kulingana na mazingira yako .Kuwafikia kina Warren Buffett n.k Ni ngumu hivyo tufanye kulingana na uwezo, kipato na mazingira yetu hata kama ni kidogo ila chenye manufaa ni kizuri.

Sawa lakini kumbukaa mvua, garage, upuuzi WA dereva, longolongo na Uvumilivu ndio kikubwa Kwa yoote niliyoeleza.Kutia 10m UTT sijui NICOL n.k ni heri ununue bajaj ikuletee hata laki 5 mpaka 6 kwa mwezi.
Hapo mwisho umeuaaa…Government bond ni biashara ya Wahindi, anaweza kuweka B 1 BOT kila mwezi akavuta mshahara wa million kadhaa na pesa inazaa.
Kapuku na biashara ya pesa hakuna kitu kama hicho.
Mambo ya Forex na bit coin sijui ndio cryptocurrency achana nayo kabisa.
Nimemsikia Bongo zozo mara nyingi akidanganya watu kwamba Siri ya yeye kuwa na pesa ya kusafiri duniani ni bit coin, si kweli msiingizwe mkenge huo, wazungu ni fallen Angels huwezi kuujuwa undani wao.
Kwenye ujasiriamali ukiwa na roho ngumu na ukakomaa pesa unaweza kuiona, na kingine Bongo visource vya income unatakiwa uwe navyo vingivingi tu bila kusahau kujenga lodge, hii ndio biashara ya uhakika, starehe ya mafukara NI ngono.