Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
INTRODUCTION
Mpo raia, ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A Kataa Ndoa.
Baada ya salamu twende kwenye mada;
BODY.
Ndio ni kweli ""Tupo CCM kwasababu kuna kitu tumefata""
1. Wapo ambao wamekosa ajira wakaona wakimbilie CCM
2. Wapo machawa na sababu zao wanazozijua wenyewe.
Watu wengi wapo CCM wana agenda zao binafsi..!!
SCENARIO.
Mimi binafsi ni mwana CCM ila niponipo tu...!!!!
1. Nilijiunga CCM 2012
2. Ninamiliki Kadi ya chama ya kielectronic yenye namba CM 111........
3. Sijawahi hudhuruia mkutano wowote wa Chama kwenye maisha yangu, ila cha ajabu sasa..!!!
4. Kikao chao cha CHAMATA kilinichagua ndio kiongozi wa CHAMATA wilaya hii
5. Imekuja/Imezinduliwa TK MOVEMENT MKOA wamenichagua ni kiongozi wao wa Wilaya hii..!!
6. Nilishawahi kuwa kiongozi wa UVCCM ila baadae walivyoona si respond chochotee wakanitoa.
Kifupi nishakuwa kiongozi wa kuchaguliwa na kuteuliwa sehemu mbalimbali bila mimi kuomba, kuwepo wala kutaka..!!!
KWANINI NILIJIUNGA NA CCM.
Simply na bila kumung'unya maneno ""Ni kwasababu ya maslahi yangu binafsi""
1. CCM ilinisaidia kupata ruhusa ya kwenda kusoma chuo kutoka kazini mwaka 1 baada ya ajira (sheria inasema miaka mitatu)
Shule nilisoma miaka 5 (Bachelor na Masters kwa kuunga) nikiwa kiongozi wa CCM wa wilaya yangu..!!
Huku sheria inasema ""ruhusa moja kwa level moja ya elimu""
2. Nikiwa chuo mwaka wa mwisho nikafungua kampuni na kuanza biashara.
Hivyo CCM ilinisaidia na inanisaidia sanaa kwenye mambo yangu ya biashara.
Kwenye biashara bwana kodi ni nyingi, usipokuwa
1. Mwana CCM ukawa unatoa michango ya chama
2. Mtoa rushwa kwa TRA
Aiseee kutoboa kutakuwa kugumu sanaa.
Changamoto, biashara ikiwa kubwa ndio Taasisi za serikali wanaitamani zaidi kuja kuipurura yaani..!!!
Hivyo CCM ni koti langu ili biashara zangu ziende..!!!
PROBLEM.
Na ukweli uliowazi mbele ya Mungu, sijawahi kuichagua CCM kwenye uchaguzi wowotee ule kwenye hii nchi.
1. Mwenyekiti wa kijiji
2. Diwani
3. Mbunge
4. Raisi
Yaani sijawahi weka Tiki kwa mgombea yoyote wa CCM..!!!
Mimi ni CHADEMA tuuu.
CONCLUSION
Ngoja nimalizie na hii ....
Mwaka 2015 nikiwa Chuo niliitwa kuja kusimamia uchaguzi katika kijiji kimoja hivi wabishi balaaaa.
Mi nilichofanya nilihakikisha serikali nzima ya kijiji inashinda CHADEMA...!!!!
Kifupi sijawahi kuielewa CCM kabisaaaaa.
Anyway:-
Kwa njia yoyote tafuta pesa.
Watu wanataka matokeo hawataki ""ulifanyaje ukapata pesa""
We tafuta pesaaaa kijana, hakikisha unakuwa na pesa basi.
#YNWA
#YANGA_BINGWA