Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Unazani kungekuwa na public transport za maana watu wasingepata shida, asubuhi unaenda kazini mnajazana kama vile viazi ukifika uendako unanuka harufu tofauti tofauti haujulikani kama umeoga wala nini public zeru watu wanapanda watafanyajePublic transport wenyewe mwendokasi..Ptuuu
Watu wengi wamehamasika kununua magari kwa sababu ya shida za usafiri wa umma hasa hasa mwendokasi