Tuongelee AirBnB + Tourism hapa Tanzania. Watu wanatengeneza pesa nyingi. Experience ya miezi 2 nikisafiri Tanzania

MURUSI Hebu fafanueni vizuri huo utapeli wa jamaa na amewahi kumtapeli nani usikute ni chuki binafsi mnaleta.

Wengine tupo serious tunataka tufanye biashara na jamaa.
Acheni roho za kishetani nyie matanzania , wapi mmepigwa hela zenu.


Mbona kuanzia mwanzo hadi hapa tulipo katika thread hii Hakuna mtu kaleta real evidence kuhusu kutapeliwa zaidi ya kumchafua mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni roho za kishetani nyie matanzania , wapi mmepigwa hela zenu.


Mbona kuanzia mwanzo hadi hapa tulipo katika thread hii Hakuna mtu kaleta real evidence kuhusu kutapeliwa zaidi ya kumchafua mtu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hao watu wanaona WIVU nikiandika mambo mazuri hapa JF.

1 • Wanatamani wangekuwa wao ndiyo wanafanya hiki nachokifanya (hii inaweza kuwa reason kubwa lakini hawana uwezo)

2 • Ni haters. Haters are going to hate no matter what.

3 • Lakini kwangu watahangaika sana. I keep doing what I’m doing [emoji817]. Na hii ndiyo inayowaumiza zaidi.

4 • No matter what they gonna say or do I won’t stop [emoji113]

Blessed Sunday from Njiro, Arusha 🥂
 
Bwana Mkubwa...Global Citizens... Tusaidie na sisi kwenye Freelance ..online job..Mbona kimya Unatunyamazia..sio wote wenye Pesa..wengine hali zetu mbaya....Tupe Elimu ndg..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari niko Zanzibar, n
Habari niko Zanzibar ni Tour Operator , na deal sana na Eco & Cultural Tourism, tuwasiliane info@ecoculture-zanzibar.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…