Tuongeze usafi wa vyoo katika viwanja vya mpira

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
227
Reaction score
310
Siku ya jumatatu nilipata kwenda uwanja wa CCM Kirumba, kisha nikaenda sehemu ya haja ndogo.

Yaani Mazingira hayafai hata kidogo yaani vile vyoo vinavyozunguka ule uwanja ni vichafu sana na miundombinu yake imechakaa sana pia na ukizngatia taifa letu linajiandaa kuwa na mashindano makubwa tunaomba mamlaka zinazohusika ziliangalie suala hili.
 
Weka na ka picha basi.
 
Back
Top Bottom