Tuonondoe Haki ya ushindani Ili familia ziwe sawa, Ili tupunguze ongezeko la single mama

Tuonondoe Haki ya ushindani Ili familia ziwe sawa, Ili tupunguze ongezeko la single mama

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
969
Reaction score
3,071
Katika Jamii, kumekua na Maneno Kila siku kuhusu single Mather ila Mimi kwa mtazamo wangu naona hili swala limetokana na mfumo wa malezi.

Ukisikiliza wanawake wanalaumu wanaume kua ndo chnanzo Cha single Mather, ukisikiliza wanaume wanasema chanzo ni wanawake.

Jamii Yote inalalama kua single Mather ni Tatizo.

Kuondoa hii ni Ngazi ya Familia kutekeleza jukumu la mahadili na malezi. Poa Familia zote za watanzania kua mahadili kama ya zamani, kwa sasa Jamii zimeacha msingi wa mwazo familia kua na kiongozi wa Familia pia kua na mama anaesimamia mahadili ya Familia.

Kwa hiv sasa Kuna hali ya kutunishiana misuli kati ya Jinsia ke na Me.

Hapa ndipo mtego unapoanzia wa mlundikano wa single mama.

Tuondoe hali ya ushindani Ili familia ziwe sawa, Ili tupunguze ongezeko la single mama.
 
Back
Top Bottom