Tuonyeshe picha ya baadhi ya vifaa vyako vya kazi vinavokupa maisha

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kama viko store kwenu au hapo kibaruani kwako tupigie picha ya baadhi ya tools zako unazoziaminia na kuzitunza daima kwani ndizo zinazokupa ugali.


 
eeh......hayo mazaga yote ndo kwa uchache?
Ni chache mno , japo inadharaulika hii kazi lakini ina vifaa kazi vingi na vyenye garama kubwa mno, tukija kwenye vifaa vinavyotumia umeme huu uzi utajaa.
 
Hiii hapa
 

Attachments

  • 20230317_212450.jpg
    5.4 KB · Views: 4
  • 20230317_212450.jpg
    5.4 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…