Tupa kule Salama, huyu ndio Dj Sinyorita, muumba hapa aliumba

Tupa kule Salama, huyu ndio Dj Sinyorita, muumba hapa aliumba

e728e9e0410761582ad8c5587bb782d4.jpg
c3feac4cc24fec594402fe3fdae055d8.jpg
1d9de2234c4570d0fbe90beb0f75109a.jpg
Yaani bora sikupewa utajiri,haya mambo yangeshaniondoa aisee,jinsi kalivyo dah!!!asante hela kwa kukaa mbali na mimi.
 
Mleta mada, usidanganyike na picha za kamera aina ya 360! Zile kamera hazimtupi mtu, ni zaidi ya jembe lisilomtupa mkulima. Yani hata uwe mbaya vipi, ilie kamera itakutoa bomba kinoma.
 
Naona vijipu uchungu tu apo,neema yeye zimempitia pembeni. Hahhaa akisoma huu uzi lazima aende china kurekebisha mzigo..eeeh hatariii
 
Naona vijipu uchungu tu apo,neema yeye zimempitia pembeni. Hahhaa akisoma huu uzi lazima aende china kurekebisha mzigo..eeeh hatariii
Sisi wengine hiyo size ndo tunapendaga hapo unaweza piga hata 5/6 kipindi cha kwanza tu halafu baada ya half time unamalizia 4.
 
Ha haaa aweke picha ya mwili mzima, ageuke, nundu anayo, yote ya nini hayo, kwani unaoa?
 
Mkorogo haujakolea sijui kama atapata soko.
 
Leo usiku mzima sijalala,nilikuwa nafikiria inawezekanaje mtoto mzuri kama huyu kushika mashine za udj bila kuchubuka wakati biskuti tuu hawezi kuvunja.Anyway mwenye namba zake anisaidie nataka kupeleka singo yangu pale mjengoni
13398542_1053862371316141_1946388231_n.jpg
Acha makeke jombaaa
 
Jaman nimecheka Mimi, Ina mana hiyo Picha hujaiiona au??
 
Back
Top Bottom