Tupa kule Salama, huyu ndio Dj Sinyorita, muumba hapa aliumba

Naona unampromote Aisha kumbe nae aitwa dj sinyorita hahahhahhaa
Shit yani nimetafuta vocha niweke bundle duka limefungwa, nimesogea wifi area ili tu nimuone huyo malaika huku kichwani nimejenga taswira atakuwa anamkaribia Zari nilichokuta ndo huu *********
 
Mtoto mzuri kaenda kwa kina HAMIS DAKOTA, soudy brown sijui kama atasalimika.huyu.dah
 
mwachen girlfriend wangu nyie vp bhn km nyuma pasi si wng kwan wenu achen ushamba
 
Leo usiku mzima sijalala,nilikuwa nafikiria inawezekanaje mtoto mzuri kama huyu kushika mashine za udj bila kuchubuka wakati biskuti tuu hawezi kuvunja.Anyway mwenye namba zake anisaidie nataka kupeleka singo yangu pale mjengoni
Samahani wewe Ndio Yule mwimbaji wa singeli ya unanitenga shemeji
 
The concept of perspective, the way your eye perceive sio......
 
Wanajamvi salaaam

Kuna kazi zingine watoto wazuri kama hawa hawastahili kuzifanya kuna kazi zao maalum.

Mwenye no zake tafadhali

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…