RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
YOU must be amazing to call her 'kawaida sana'Kawaida sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YOU must be amazing to call her 'kawaida sana'Kawaida sana
Duh mzee leo hadi umetype sentensi mbili?!!!! kawaida yako ni......sawa.....haya......Kaumba sura au nini....?? Geuza nyuma tuone....!
Shit yani nimetafuta vocha niweke bundle duka limefungwa, nimesogea wifi area ili tu nimuone huyo malaika huku kichwani nimejenga taswira atakuwa anamkaribia Zari nilichokuta ndo huu *********Naona unampromote Aisha kumbe nae aitwa dj sinyorita hahahhahhaa
ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaBiashara ya kondoo ni mkia.
huko lazima anyonyolewe tu na baada ya miaka miwili tupa kuleMtoto mzuri kaenda kwa kina HAMIS DAKOTA, soudy brown sijui kama atasalimika.huyu.dah
Samahani wewe Ndio Yule mwimbaji wa singeli ya unanitenga shemejiLeo usiku mzima sijalala,nilikuwa nafikiria inawezekanaje mtoto mzuri kama huyu kushika mashine za udj bila kuchubuka wakati biskuti tuu hawezi kuvunja.Anyway mwenye namba zake anisaidie nataka kupeleka singo yangu pale mjengoni
![]()
Sure....!!
Nataka nijueDuh mzee leo hadi umetype sentensi mbili?!!!! kawaida yako ni......sawa.....haya......