Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Bila kuwasahau KRS one, DMX, busta rhymes,Rap artist wa zamani kama Tupac,BIG , Nas na hata Braza Jigga walikuwa wanatoa NONDO za kuacha legacy na nyimbo za kuishi kwa muda mrefu lakini hawa mashoga waliovamia industry ya hip-hop kama kina lil Nas X , lil pump, tekashi ni wamefanya tukaendelea kurudia mangoma ya 1990s ambapo hip-hop ilikuwa real sana.
Sent using Jamii Forums mobile app