Bila kuwasahau KRS one, DMX, busta rhymes,Rap artist wa zamani kama Tupac,BIG , Nas na hata Braza Jigga walikuwa wanatoa NONDO za kuacha legacy na nyimbo za kuishi kwa muda mrefu lakini hawa mashoga waliovamia industry ya hip-hop kama kina lil Nas X , lil pump, tekashi ni wamefanya tukaendelea kurudia mangoma ya 1990s ambapo hip-hop ilikuwa real sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
moja ya ngoma kali kuwahi kutokea...Hapa alitabiri kifo chake
I aint' mad at cha.
Still at leo kifo cha tupac ni conspiracy theory.
Zipo theory freemason walipandisha wote na BIG then wakawagombanisha kwa kutengeneza team mbili kisha wakawaua wote.Theory hii inapewa nguvu na wimbo wa The Don kilimuninat kwamba alitaka kujitoa freemason wakamuwahi.
Me too,jamaa alikuwa ana maono ya mbaliNgwea sikumpa attention wakati yupo hai ! (Sad bout it) Nilipata kuisikia mashairi yake akiwa marehemu tayari ,
Must admitt naye alikuwa hot
Masikini Wenzangu - Ngwea feat MirrorMe too,jamaa alikuwa ana maono ya mbali
"I send this out to all the former fallen soldiersHebu sikikiza ngoma kama tears drop closed casket,sikiliza the good die young,sikiliza so many tears
List ndefu hapa tusije jaza server tu ya jf
Ova