Tupac Shakur akiwa na Janet Jackson

Tupac Shakur akiwa na Janet Jackson

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1634705559114.png
 
Hio nyimbo ni hatari na nusu

Katukana wote

Big smallz
Lil Kim
Junior Mafia
Pdiddy

Tukana sana aiseee[emoji15]
ukiona mtu anakwambia ni mhuni anaigavtu,mhuni wa kweli alikuwa 2pac.katukana sana kwenye hiyo diss track alafu maneno anavyoyatamka utafikir anatafuna karanga.
 
ilisemekana na faith evance pia aliliwa
No faith alienda LA na mishe zake, wakati huo uhasama umeshika Kasi kweli ,na Faith alikuwa demu wa BIG ile pika pakua...
Demu aliona uhasama umefika pabaya ,kosa alilofanya alivyofika LA akaona atumie hyo nafasi kukutana na akina Suge knight wayamalize Kama brothers n sisters
Demu SI akaenda Hadi studio likawa bonge la kosa washkaji wakapiga picha picha nae halafu story ikabadilishwa na Ngoma ikatoka ukichek Kuna line moja inasema "you claim to be a player but I f**k your wife"
Na zile picha daaah ikawa bonge la noma na nusu
 
hivi silaha za zaman hazikuwa hatar sana au.maana nimekuwa naskia wana hip-hop weng wa marekan walikuw wanatandikwa risasi wenyew kwa wenyew ila kifo mara chache sana.nimekuwa nasikua kina 50cent kupigwa risasi,2pac kabla ya stuation ya mwisho kuuliwa nasikia huko nyuma waliwah kummimina risasi na hakufa,huku bongo risas moja tu inakuondoa dunian.

naomba kueleweshwa hapa
 
huo mstar pac anautamka kihuni sana[emoji3][emoji3]
 
hivi silaha za zaman hazikuwa hatar sana au.maana nimekuwa naskia wana hip-hop weng wa marekan walikuw wanatandikwa risasi wenyew kwa wenyew ila kifo mara chache sana.nimekuwa nasikua kina 50cent kupigwa risasi,2pac kabla ya stuation ya mwisho kuuliwa nasikia huko nyuma waliwah kummimina risasi na hakufa,huku bongo risas moja tu inakuondoa dunian.

naomba kueleweshwa hapa
Lissu alipigwa risasi ngapi? Ilikua Ni zamani Sana?
 
Back
Top Bottom