BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Sijui kama jamaa alikosa hata denda. Chemistry yao pamoja na kukulia katika mazingira tofauti utoto wao ilikuwa kubwa sana. 😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ilisemekana na faith evance pia aliliwa
[emoji23][emoji23] jamaa alikuwa muhuni wa kuzaliwa nao,mitaa aliyokulia,era ya wakati huo (late 70s>mid 90s) nadhani hicho kipindi dunia ilikuwa na wahuni haijawahi kutokeahuo mstar pac anautamka kihuni sana[emoji3][emoji3]
😂😂kwenye "hit em up" jamaa aligonga F za kutosha,
Faki Moob deep, faki Big, faki Bad boy, and if you wanna be down of Bad boy faki you too.Hio nyimbo ni hatari na nusu
Katukana wote
Big smallz
Lil Kim
Junior Mafia
Pdiddy
Tukana sana aiseee[emoji15]
Ameimba hivyo kwenye hiyo Hit em up. Amesema wazi amemla mke wa Big.ilisemekana na faith evance pia aliliwa
Tundu Lisu amepigwa risasi 32 na bunduki ya kivita, siyo pistol.hivi silaha za zaman hazikuwa hatar sana au.maana nimekuwa naskia wana hip-hop weng wa marekan walikuw wanatandikwa risasi wenyew kwa wenyew ila kifo mara chache sana.nimekuwa nasikua kina 50cent kupigwa risasi,2pac kabla ya stuation ya mwisho kuuliwa nasikia huko nyuma waliwah kummimina risasi na hakufa,huku bongo risas moja tu inakuondoa dunian.
naomba kueleweshwa hapa
[emoji1][emoji1][emoji1]Faki Moob deep, faki Big, faki Bad boy, and if you wanna be down of Bad boy faki you too.
Hapa maana yake hata wewe msambaa kama ni mpenzi wa Bad boy faki you too.
[emoji3][emoji3]huo mstari huwa unanchekesha sana,anataja jina kwanza alafu anaweka pozi kama sekunde kadhaa alafu utasikia faki you too[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji1]
kaliwa madona itakuwa faith evance...bodyguard wa pac anasema jamaa alikuwa na bonge la pipeilisemekana na faith evance pia aliliwa
Akifuatiwa na Miriam OdembaHuyo bi dada ana tabasam zuri kweli.