Tupac Shakur akiwa na Janet Jackson

huo mstar pac anautamka kihuni sana[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23] jamaa alikuwa muhuni wa kuzaliwa nao,mitaa aliyokulia,era ya wakati huo (late 70s>mid 90s) nadhani hicho kipindi dunia ilikuwa na wahuni haijawahi kutokea
 
Tundu Lisu amepigwa risasi 32 na bunduki ya kivita, siyo pistol.
 
Faki Moob deep, faki Big, faki Bad boy, and if you wanna be down of Bad boy faki you too.

Hapa maana yake hata wewe msambaa kama ni mpenzi wa Bad boy faki you too.
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji3][emoji3]huo mstari huwa unanchekesha sana,anataja jina kwanza alafu anaweka pozi kama sekunde kadhaa alafu utasikia faki you too[emoji3][emoji3][emoji3]

jamaa kweli alikuw mhuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…