Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Miti hupunguza ongezeko la joto kwenye mzaingila yetu kwahiyo
tujitahidi angalau kila nyumba iwe na miti kulingana na ukubwa wa eneo lake
Miti hunyonya hewa chafu kwenye mazingila yetu na hutupa hewa Safi kwenye mazingila yetu
hivyo mti mmoja nyumbani kwako unathamani kubwa sana juu ya maisha yako na afya yako
Miti huzuia au kupunguza Kasi ya vimbunga/upepo kwenye mazingila yetu
Hivyo panda miti kuizunguka nyumba yako uiepuke dhahama ya vimbunga na upepo mkali
Miti nichanzo Cha vitamins zinazo tokana na matunda Kama embe,rimao,palachichi,chungwa,Nazi,koma manga,Pera,korosho, nk
Hivyo panda miti ya matunda kuizunguka nyumba yako kwa afya Bora ya familia yako na kizazi chako kijacho
Miti hupunguza au kuzuia kabisa mmomonyoko/mapolomoko ya udongo Kama Yale ya kule hanangi,mbeya nk
Hivyo kila mamlaka mikoani inapaswa kuitambua thamani ya miti nakuweka sheria zitakazo ilinda miti dhidi ya ukuwaji wa miji na makazi ya watu
Miti nikivutio au makazi ya viumbe kama.ndege🐦, vipepeo,mijusi,vinyonga,nyani/monkeys nk.
Hivyo panda miti wanao Wawa jue viumbe wanao wazunguka
Kumbuka kila palipo nyumba au jengo palikuwa na miti mingi
hivyo panda miti Kama unaona Kuna nafasi ili kuitukuza asiri hakika itakutukuza pia
Kila palipo balabala palikuwa na miti
hivyo tupandeni miti pembezoni mwa barabara zetu itatu saidia kwa vivuli na matunda
Miti nimaisha,miti Ni afya,
miti ni uhai
Niuhai kwani hutunza maji kwa kuzuia uvukishaji/evaporation nakuiacha aridhi yetu ikiwa na unyevu unyevu
hivyo tupande miti kuliepuka joto
Joto la dareslaam linaweza kupungua mpaka kufikia hata nusu ya joto hili Lili lopo Sasa hivi
Iwapo tu Kama kila nyumba angalau. itakuwa na miti mitatu au minne
Tupande miti ya matunda kuya zunguka mashamba yetu tutakuja kufaidika nakama sio sisi Basi vizazi vyetu vitafaidika
tupande miti ya matunda kuzunguka bustani zetu kwa faida za kiafya na kimazingila
Tupande miti ya matunda kuzunguka parkings zetu za magali kwa faida za wageni wetu au wapita njia na sisi wenyewe
Tupande miti kuzunguka vuwanda vyetu
Tupande miti ya matunda kuzunguka fance za nyumba zetu miti itakuja kutuludishia shukrani kipindi Cha vimbunga
Tupande miti ya matunda kwenye round about zetu watoto wa mitaani wale matunda humo washibe waache kuombaomba mitaani
Panda miti popote uonapo panastahili kupandwa mti
Tenga japo siku moja kwa ajili ya kupanda mti japo mmoja
kwenye matembezi yako au mazingila yanayo kuzunguka nawe utabalikiwa
Ndugu zangu miti ni maisha hivyo basi natupande miti
ili kuya Linda maisha
na tusifanye kwa faida Bali tufanye Kama shukrani kwa asiri iliyo tulea
tufanye Kama sehemu ya kumshukulu kwa kutupa dunia yetu nzuli na yeye atatu baliki...