Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 15,767 Reaction score 26,079 Nov 11, 2024 #21 watu wamekomaa kuzungushia maukuta na wanasahau kupanda miti kwa ajili ya hewa safi, pamoja na kupunguza joto
watu wamekomaa kuzungushia maukuta na wanasahau kupanda miti kwa ajili ya hewa safi, pamoja na kupunguza joto
ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 10,292 Reaction score 4,976 Nov 11, 2024 #22 Killing machine said: Tuishie hapo mkuu na usisahau kupanda mti hapo kwako mkuu Click to expand... Hii ndio kazi yangu ya kudumu mkuu
Killing machine said: Tuishie hapo mkuu na usisahau kupanda mti hapo kwako mkuu Click to expand... Hii ndio kazi yangu ya kudumu mkuu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 11, 2024 #23 Sawa sawa