Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,444
😀😀😀 Kama legendary BalthazarNa tusisahau kupiga miti.
Usipande tu miti ilimradi bila kufuata maelekezo ya mtaalam ni wapi upande mti na wa aina gani?!Mada nzuri sana .
Asante kwa kutukumbusha.
NAKAZIA
msimu wa mvua za masika umekaribia,mvua zimekaribia kuanza kunyesha ni muda mzuri kupanda mimea.
Tupande miti kwenye viwanja vyetu
Pia tupande maua ,na mboga mboga za majani.
Faida ya kimvuli,chakula matunda,hewa safi,kupunguza joto lukuki za kiafya na kutunza mazingira ili mazingira yatutunze.
Hapa mkoani nilipanda mipasheni last year muda wa mwaka mmoja tu navuna mapasheni ya juisi leo nomekunywa juisi ya mapasheni nikiyopanda hapa kuzunguka nyumba yangu mwaka jana tu,mboga za majani matembele,majani ya maboga.
Miti ya matunda mengine ndio bado inaendelea kukua mwaka jana nimehamia hapa huu mkoa semi arid nusu jangwa pakame na jua kali lakini sasa hivi nimepabadilisha kwa mimea mbalimbali niliyopanda.
Kuna vitu Havi hitaji utaalamu Sizani Kama una weza kupanda mpapai au mnazi kalibu na nyumbaUsipande
Usipande tu miti ilimradi bila kufuata maelekezo ya mtaalam ni wapi upande mti na wa aina at
mi nimepanda milimao,miparachichi,mipapai,mipassion,miembe,maua mboga mboga,mipera n.k nyumbank kwanguKuna vitu Havi hitaji utaalamu Suzanna Kama una weza kupanda mpapai au mnazi kalibu na nyumba
Utaalamu ndiyo unao iludisha dunia nyuma
Mshana napenda kukushukuru sijui kama ulinisabanishia au laa.Asante kwa mada nzuri sana inayohusika na uhai wetu.. Kwa bahati mbaya uchangiaji utakuwa wa chini maana wandewa hizi sio habari zao penda
Kwa mfano kwenye hii mada yangu hapo chini kwa asilimia 90 naisongesha mwenyewe
Haya Mambo ya utaalamu mkuu Ni upuuzi mtupu panda miti popote unapo ona Pana hitaji mtiPlanting trees in high latitudes or open grasslands may not be a wise idea for several reasons:
1. Climate Adaptation: Trees typically require specific climate conditions to thrive, including temperature ranges, moisture levels, and soil types. High latitudes or grasslands may have extreme conditions that are not suitable for most tree species, leading to poor growth or even tree mortality.
2. Ecological Disruption: Grasslands are often finely balanced ecosystems that support diverse species of grasses and herbivores. Introducing trees could disrupt these ecosystems by changing the microclimate (e.g., increasing shade, altering soil moisture), which might negatively affect the native species that are adapted to open, sunny environments.
3. Invasive Species Risk: Non-native trees planted in these regions could become invasive, outcompeting native plant species and altering the natural landscape. Invasive trees could change soil composition, fire regimes, and nutrient cycles, making it harder for native plants and animals to survive.
4. Soil and Hydrology Issues: Trees require a different hydrological regime than grasslands, often consuming more water. In areas where water is scarce or where grasslands rely on particular moisture patterns, planting trees could alter water availability, affecting other plant species and local wildlife.
5. Fire Risk: In many open grasslands, fires are a natural part of the ecosystem, and they help maintain the balance of grasses and other plants. Trees can increase fuel load, changing the fire dynamics and potentially leading to more intense and destructive fires.
6. Carbon Sequestration Potential: In some cases, planting trees in these areas might not significantly increase carbon sequestration. Grasslands can be highly effective at storing carbon in the soil, and converting them to forests might not be as beneficial for carbon capture as leaving them as grasslands or restoring degraded grasslands.
For these reasons, it's important to carefully consider the ecological context before attempting large-scale tree planting in high-latitude regions or open grasslands. Sustainable land management practices that align with local ecosystems are key to preserving biodiversity and promoting long-term environmental health.
Panda mti pale kwenye asili ya miti sio popote jaribu kuheshimu taaluma ya watu ndio maana Mungu kaweka maeneo ya nyasi, jangwa, barafu na misituHaya Mambo ya utaalamu mkuu Ni upuuzi mtupu panda miti popote unapo ona Pana hitaji mti
Kitaalamu hata mdudu akikuingia jichoni inabidi uende hospital akatolewe na doctor hata Kama unaweza kumtoa
Sasa huko so kucheleweshana kupona?
Utaalamu ndio uliokupa smartphoneKuna vitu Havi hitaji utaalamu Sizani Kama una weza kupanda mpapai au mnazi kalibu na nyumba
Utaalamu ndiyo unao iludisha dunia nyuma
Utaalamu ndiyo chanzo Cha ujio wa chainsaw
Utaalamu ndiyo chanzo Cha kumwagwa kwa chemicals baharini
Utaalamu ndiyo chanzo Cha ongezeko la cabon angani
Utaalamu ndiyo umeleta covid,hiv,ebora,
Na utaalamu ndiyo chanzo tume pata Uhuru lakini bado tuna tumia Sheria za kikoloni mpaka leo
Hivyo utaalamu ni kuchelewesha mambo
Tuishie hapo mkuu na usisahau kupanda mti hapo kwako mkuuUtaalam una positives na negatives
Kuna vitu vina shangaza SanaMiti ni muhimu sana. Hasa miti yenye faida kama mboga na matunda. Usikose mkisamvu nyumbani.
Usijali kuwa nje ya madaMshana napenda kukushukuru sijui kama ulinisabanishia au laa.
ila mpaka sasa mambo yanaenda sawa japo sijapata mwenza wa kukaa nae but hawa wa kupita pita wa rika langu alhamdullilaah..
Kingine mkuu hapa nina ofisi yangu huyu jirani yangu yeye ni mtu wa nyanga sana anasema analinda ofisi yake..
Ila mimi hayo mambo wala sijawahi waza na show inaenda safi kabisa..
Ila juzi kati hapo ilitomea kunguru akaingia ofisinj kwangu.
Yule jamaa angu akasema hapo kuna kitu..
Mi zangu ni dua tu mana ni muislam safi kabisa huwa nasoma soma tuu visura vitatu alafu nakua na imani..
Je mkuu naweza fanya kitu kwa ajiri ya ofisi au nikomae tuu na mambo yangu....???
Japo ni.nje ya mada mkuu
Asante sana mkuu...Usijali kuwa nje ya mada
1. Asante kwa mrejesho
2. Usitishike na jamaa maana miungu yake haina nguvu kama Mungu wako
3. Usitoke nje ya mstari baki na msimamo wako utakuja ona faida yake
Sanasana tumia tiba ya chumvi kwa ulinzi, mvuta na kinga