Sprouts pre School
Member
- Jul 15, 2026
- 64
- 187
Je, unatafuta mwalimu mwenye uwezo wa kumsaidia mtoto wako kuelewa masomo vizuri, kuongeza ufaulu na kujiandaa kwa mitihani kwa ufanisi?
Elite Home Tuition inatoa huduma ya tuition ya kibinafsi inayolenga mahitaji ya kila mwanafunzi. Tunawasaidia wanafunzi wa viwango mbalimbali vya elimu, kuanzia Early Years Foundation Stage (EYFS), Key Stage 1, Key Stage 2, Key Stage 3, GCSE, A-Level na mitaala mingine kulingana na mahitaji ya mwanafunzi.
Tunatoa tuition katika masomo mbalimbali ikiwemo English Language, English Literature, Mathematics, Science, Biology, Chemistry, Physics, Geography, History, Business Studies, Economics, Accounting, Computer Science, French, Spanish na masomo mengine kulingana na kiwango na mahitaji ya mwanafunzi.
Huduma yetu inalenga kumsaidia mwanafunzi:
Tofauti na kusoma katika darasa lenye wanafunzi wengi, home tuition humwezesha mwanafunzi kupata umakini wa moja kwa moja kutoka kwa tutor. Hii humsaidia tutor kutambua maeneo ambayo mwanafunzi anahitaji msaada zaidi na kupanga masomo kulingana na mahitaji yake.
Kama mzazi unataka mtoto wako apate msaada wa kitaalamu, maelekezo ya karibu na mpango wa kujifunza unaolenga matokeo, Elite Home Tuition ni chaguo linalofaa.
Kwa maelezo zaidi kuhusu masomo, kiwango cha mwanafunzi, curriculum na kupanga tuition, wasiliana nasi kupitia WhatsApp:
0743567159
ELITE HOME TUITION
Supporting Students. Building Confidence. Improving Results.

- Kuelewa mada ambazo ni changamoto kwake
- Kujenga msingi imara wa masomo
- Kuongeza confidence na uwezo wa kujibu maswali
- Kujiandaa kwa mitihani na assessments
- Kuboresha performance ya darasani
- Kufanya revision kwa mpangilio
- Kupata msaada wa karibu unaozingatia uwezo na malengo yake binafsi