Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Sisi wote niwa mavumbini
🤣Kwamba ili apate uchunguDah!! Nilimpaga dogo janja mmoja gx100, nikakuta kaingia nayo mpaka sebuleni 🤣 vile vi kota vya kigogo kama unaelekea soko la karume.
Mwenye nyumba alikua maza maza flani hivi mshamba tu akaja na moto balaa, makelele kibao, nikaona huyu nikimuendekeza atazidi kuniharibia siku tu.
Nikamwambia kama unaona hatuwezi kuelewana basi twende polisi, gari yangu inabima, itabidi polisi wawaite watu wa bima waje kufanya tathmini, ili wakujengee ukuta mwingine, na zoezi hilo linaweza kuchukua hata mwezi mzima kukamilika( nikamuona mwenyewe anaanza kurudi kwenye meza ya mazungumzo.)
Nikanunua cement na tofali nikalipa mafundi huyoo nikaenda zangu gereji kuumizwa na fundi.
Asee saiv nitakuazima gari kama na wewe una gari mzee, ili likitokea la kutokea natumia ndinga yako wakati unairekebisha yangu.