Tupe Experience yako siku ya kwanza kuendesha gari HighWay safari ilikuwaje

Tupe Experience yako siku ya kwanza kuendesha gari HighWay safari ilikuwaje

Sana tulipofika geti la ngorongo kuna dereva wa basi akanifuata kuniuliza mbona break nyingi sikumjibu kwasababu ukweli nilikuwa naujua mwenyewe maana nilikuwa learner.
Aisee!

Bila shaka ulifika ukiwa umeshakuwa "dereva"
 
Back
Top Bottom