Kama unaendesha gari kwa Mara ya kwanza kwa njia ya dar mbeya/tunduma unaweza kulitumbukiza gari pembezoni..maana hii njia malori yana fujo sana na yanakimbizana muda wote

Sana tulipofika geti la ngorongo kuna dereva wa basi akanifuata kuniuliza mbona break nyingi sikumjibu kwasababu ukweli nilikuwa naujua mwenyewe maana nilikuwa learner.