Baby Doll
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 4,716
- 21,530
Nakutaka wewe kama zawadi.Hiyo inaharibu meno, chagua nyingine.
Uendelee kuwa upande wangu, unifundishe, unionye , na kunikumbusha nikipotea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakutaka wewe kama zawadi.Hiyo inaharibu meno, chagua nyingine.
Asante Mkuu. Kwa maelezo.Yes, ila kuna mtoa hoja kauliza kuhusu jinsia ya Aisha (ni ke au me?).
Kama ni ke, ile 'of his father's wife' haisimami kwa ajili ya Aisha.
Was supposed to be 'of her father's wife' ili John a-qualify kuwa cousin.
Nakutaka wewe kama zawadi.
Uendelee kuwa upande wangu, unifundishe, unionye , na kunikumbusha nikipotea.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Hiyo siyo zawadi tena kwa sababu tayari nipo, na hayo ni majukumu yanayoendana na kuwepo kwangu.
Jibu ni lile lile. Kwa mtazamo wa mimi.Baada ya hayo maelekezo, jibu lako linabaki vile vile?
Au kuna changes!
Hizi emoji ndo zile ushanifundisha siyo?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app