Raphael focus
JF-Expert Member
- Nov 4, 2018
- 779
- 4,564
Habari ya muda huu wana MMU!
Kama mada inavyo jieleza hapo juu, sote tunatambua kuwa "umakini" ni jambo la muhimu kuzingatiwa katika mahusiano.
Kutokuwa makini kati ya wenza wawili kumepelekea mifarakano na hata kuchangia kuvunjika kwa mahusiano.
Kutokuwa makini katika mahusiano kumepelekea baadhi ya wanawake kushika ujauzito na baadhi ya wanaume kusababisha ujauzito bila kutegemea.
Kutokuwa makini kwenye mahusiano kumepelekea michepuko kusababisha/kusababishiwa mimba nnje ya ndoa zao.
Huu ni mfano wa picha unaobeba maana harisi ya neno "Umakini"
Japokuwa picha hiyo apo juu haijabeba hoja iliyo husiana na "mahusiano ya kimapenzi"
Lakini utagundua kuwa, jinsi mtu wa kurekodi video alivyokosa umakini kwenye kazi yake na kupelekea kutotunza kumbukubu ya matukio ya harusi kwa njia ya video.
Hebu tuludi kwenye mada "ni kwa namna gani umakini uliathiri mahusiano yako?