Mkulima Jr
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 224
- 246
Habari wana JF,
lengo kubwa la huu Uzi nikujulisha walipo mafundi wa kufanya services na kutengeneza magari hasa brand tajwa apo BMW na AUDI pindi technical problems.
Brand tajwa apo juu, ni moja ya brands zinazopendwa sana na watanzania ila katika uchunguzi wangu mdoko umefanya watu kuwa waogo kununua izo brand kutokana na kukosa taarifa sahihi tajwa apo chini
Kwa wale wanaomiliki izo brand tunaomba mshare izo taarifa wapi wanapatikana mafundi zingatia yafuatayo
Ukiweza tupe bei elekezi za Spares hasa zile Common Spares kama Shock up Ball Joint N.K

- UPATIKANAJI WA SPEARS ZAKE
- UPATIKANA WA MAFUNDI WA IZO BRANDS
Kwa wale wanaomiliki izo brand tunaomba mshare izo taarifa wapi wanapatikana mafundi zingatia yafuatayo
- MAHALI FUNDI ALIPO AU GARAGE ILIPO
- MAWASILIANO YA FUNDI
- MADUKA YANAPOPATIKANA SPARES