ha!...kumbe hatuko mbalimbali....njoo nitembelee basi hapa Shelui....
Utafika Isaka nikupe dagaa za kumpelekea shangazi?
Kaolewa na msomali fulani, wanakaa Kahama, but
ukifikisha mzigo Isaka kwa Ami Hamdun lazima watampelekea.
Mambo? How are you? Kale ka puppy vipi?Mie nina barua, nataka akaidondoshe Mwabulenga
Hapo kijijini mzee wangu ni rafiki wa VEO so itamfikia.
Unakula kuku saranda, pia unanunua na shampoo ya aina ya PANTHENE. hahahahahaNiandalie Kware wawili.
Mbuni huwa sipendi
Naikumbuka treni jamani, nikipita saranda, nakula kuku ana paja kama la binadamu ila walikuwa watamu tu.
Utafika Isaka nikupe dagaa za kumpelekea shangazi?
Kaolewa na msomali fulani, wanakaa Kahama, but
ukifikisha mzigo Isaka kwa Ami Hamdun lazima watampelekea.
Upo dom au singida pande zipi nikutafute............unakula gambe la asili nikurushe?