Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Habari wakuu.
Hivi karibuni nimeanza kutangaza biashara instagram. Kwa kweli kuna tofauti kubwa kati ya biashara inayotangazwa na isiyotangazwa ila changamoto ni nyingi sana. Mara hela usikatwe na wasilipromote. Mara waseme hawawezi kutangaza, wanafungia account nk. Changamoto ni nyingi na zinakera sana. Na ukiingia online hukuta solution za maana zaidi ya watu wanaolalamika.
Hebu tupeane ABC za kutangaza insta, faida, changamoto na jinsi ya kuzitatua.