Watu wengi mtandaoni wanalalamika hilo suala na hakuna njia ya utatuzi. Wengi humo mitandaoni wanasema huwa inajiesolve yenyewe.Kiukweli Instagram wanaboa mno. Mimi pia nimekuwa mhanga sana wa mambo yao. Utakuta taratibu zote umefuata lakini basi app inagoma kupromote. Kiukweli mimi sina mbinu maalum ya kutatua zaidi ya kuachana nao hadi pale wanapojiseti wenyewe.
Hayo yote yanajulikana ila utakuta tu Insta inazingua huku ukiwa na kibunda cha kutosha kwenye account.Step ya pili inakubidi utengeneze face book account na hiyo account. Baada ya hapo tengeneza page ya biashara yako ndani ya hiyo account. Utailink account yako ya instagram na hiyo account ya facebook.
Unavyokuwa unatengeneza account yako ya biashara ya instagram kuna step itakuambia link na facebook account. Hapo ndiyo unakubali. Ukifika hapo unaweza kupromote post unazoweka humo. Hakikisha tu account ya malipo ina pesa na picha au video unazotaka kusponsor zimekizi vigezo. Hasa ubora na urefu kwa video.
Hivi kwanini ukipick audience wa tanzania kwa ufasaha highest estimated reaches zinakuwa kuanzia 660 hadi 1500 wakati ukipick audiences wamarekani inaleta highest estimated reaches 65 hadi 150 per day kwa dola mojaBajeti ni ndogo tu. Unaweza hata kutumia dola moja kwa siku. Kama 2,400. Pia kuna sehemu ya kuchagua audience. Unaweza chagua umri wa unaowatangazia, mji au nchi unakotaka kutangaza nk.
Sijajaribu kwa Marekani. Ila mimi kwa Tanzania inanileteaga Reach hawa.Hivi kwanini ukipick audience wa tanzania kwa ufasaha highest estimated reaches zinakuwa kuanzia 660 hadi 1500 wakati ukipick audiences wamarekani inaleta highest estimated reaches 65 hadi 150 per day kwa dola moja
Duh hii estimation mbna ipo strong saana boss? Me huwa inakshia saana 1500 kwa bongo halafu marekan 65 hadi 150 napoint huko
Inamatokeo saana sema tafuta muongozo sahihi wakukupa maelekezoHii kitu nafikiria kufanya kwenye biashara yangu. Vipi inaleta matokeo chanya wakuu?
Mi niliona tofauti kubwa sana. Cha muhimu ni kuchagua Auidience wako vizuri. Biashara yako inaweza uzika ncho nzima, mkoani kwako tu, dunia nzima au wanawake tu, wanaume tu, watu wenye mumri fulani, wapenda misosi, nguo, nk.Hii kitu nafikiria kufanya kwenye biashara yangu. Vipi inaleta matokeo chanya wakuu?
Naomba direction sehemu ya kwenda ili kupata huo msaada.Wasiliana na customer care wao watakusaidia kunapokua na shida
Link account yako ya Instagram na Facebook, kwenye Facebook kuna sehem ya ku report matatizo , ingia pale report, hakikisha unaandika in details shida yako , na pia uhakikishi emails unazotumia kwenye account zako hizo una access nazo manake ndiko utakapo jibiwa , utapata huduma vizur tu
Kwa sisi ambao tuna mda mrefu hua tuna huduma ya live chat , sijui kama hiyo huduma inapatikana kwa new comers, ila wakongwe ipo
Customer care wao wao vyema sana
Mkuu hii shida huwa unasolve vipi? Maana inaweza kaa hata miezi kadhaa.Wasiliana na customer care wao watakusaidia kunapokua na shida
Link account yako ya Instagram na Facebook, kwenye Facebook kuna sehem ya ku report matatizo , ingia pale report, hakikisha unaandika in details shida yako , na pia uhakikishi emails unazotumia kwenye account zako hizo una access nazo manake ndiko utakapo jibiwa , utapata huduma vizur tu
Kwa sisi ambao tuna mda mrefu hua tuna huduma ya live chat , sijui kama hiyo huduma inapatikana kwa new comers, ila wakongwe ipo
Customer care wao wao vyema sana
Angalia kitu unachopromote, kuna mambo ya copyright issues, na kama tangazo lako linaleta ubaguzi wowote,au lisilo na maadi mazuri kwa jamii yako inaweza kukataliwa...Mk
Mkuu hii shida huwa unasolve vipi? Maana inaweza kaa hata miezi kadhaa.View attachment 1835679