God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Habari ya uzima huu ni Uzi maalumu wa watu kutoa code za maisha ili tufaidike sote.
Mimi leo natoa code mbili.
(Third hand -CODE)
Hii code ya third hand huwa tunaitumia kutengeneza connection na WATU
Unapokutana na MTU hakikisha huyo mtu kuna kitu unamuongezea hii itakufanya wewe masikini uweze kuwa karibu na watu waliojipata kimaisha.
Mfano kuna watu hela sio tatizo Ila wanahitaji ideas mpya ebu hakikisha Una ideas yoyote ya kumpa MTU mwawazo chanya n.k
Kupanda mbegu - hii code itakusaidia kutoishi maisha magumu hakikisha unasaidia Sana WATU kwa njia chanya wema haujawahi kuoza.
Ukimuona MTU Ana uwezo MPE nafasi au Kama nafasi hamna mpe mawazo ya wapi aelekee na safari yake.
Hizo ni code mbili zinasema.
- Plant a good seed that will grow to other .
- Be a third hand to other.