sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Laptop zao wanazitoa kwenye soko kama alibaba.Niliwatafuta wanipe connction ila waligoma, Sikuwa na nia ya kuharibu biashara zao ila nlikuwa nataka tu nijipigie order kuna pc ni bei sana sasa nikataka nijiagizie.
Kumiliki laptop ni Kitonga sana sahivi endapo utaweza kuagiza mwenyewe. Hizo laptop za USD 55 ikitua kariakoo ndio moja unauziwa kati ya laki 4.5 mpaka 7.5 hapo.Laptop zao wanazitoa kwenye soko kama alibaba.
Huchukua mzigo mkubwa, wanasafirisha kwa meli/ air cargo...
Sahihi, ndio bei zao.Kumiliki laptop ni Kitonga sana sahivi endapo utaweza kuagiza mwenyewe. Hizo laptop za USD 55 ikitua kariakoo ndio moja unauziwa kati ya laki 4.5 mpaka 7.5 hapo.
Dah aisee umenigingua macho mkuu, lakini naona hizo za zamani kidogo, vp hizo ambazo no core i5 na core i7 zenye vizazi (generation) vya saba kwenda juuLaptop zao wanazitoa kwenye soko kama alibaba.
Huchukua mzigo mkubwa, wanasafirisha kwa meli/ air cargo.
Na kama ujuavyo computer and computer parts hazina kodi, wanalipia VAT basi.
Hivyo wakiondoa gharama za kuifikisha laptop nchini na wakaweka faida yao, bado wanapata faida kubwa sana.
Angalia kwa mfano hapa
View attachment 1546678
View attachment 1546680
Kwa mfano hizi laptop ukizifikisha nchini, na ukafanya timming ambapo first year ndio wanalipoti vyouni, Utaingiza fedha ndani ya muda mfupi sana sababu wewe utawafuata wateja wako vyuoni na utawauzia kwa bei nafuu.
Mkuu zingatia maelezi ya mkuu hapo juu inabidi ununue kwa kujumua nyingi ndo utauziwa, sio moja moja,Kumiliki laptop ni Kitonga sana sahivi endapo utaweza kuagiza mwenyewe. Hizo laptop za USD 55 ikitua kariakoo ndio moja unauziwa kati ya laki 4.5 mpaka 7.5 hapo.
Dah aisee umenigingua macho mkuu, lakini naona hizo za zamani kidogo, vp hizo ambazo no core i5 na core i7 zenye vizazi (generation) vya saba kwenda juu
Mkuu zingatia maelezi ya mkuu hapo juu inabidi ununue kwa kujumua nyingi ndo utauziwa, sio moja moja,Kumiliki laptop ni Kitonga sana sahivi endapo utaweza kuagiza mwenyewe. Hizo laptop za USD 55 ikitua kariakoo ndio moja unauziwa kati ya laki 4.5 mpaka 7.5 hapo.
Mkuu nlisomaga una huduma ya kuagiza huko vitu japo ilikuwa zamani kidogo, vp insurance policy yako vitu visipofika na hela ushapewa
Kama mwl alivyokuambia pc kwa bei nzuri unapata, changamoto kubwa ni kuzisafirisha kuleta huku hasa kama una mtaji mdogo. Laptop ni nzito na kampuni za usafirishaji wanachaji hela nyingi, unless unaleta kwa meli.Kuna maduka kama laptop city, Discount kubwa, zawadi computers na maduka kibao ya wasomali wanauzaga hizi laptops kwa bei chee kidogo.
Niliwatafuta wanipe connction ila waligoma...
Unaweza nunua ebay kma unataka moja. Zinakua juu kdg ila sio kma huku bongo. Shida inakujaga kwenye shipping. Shipping cost bei kubwa.Mkuu zingatia maelezi ya mkuu hapo juu inabidi ununue kwa kujumua nyingi ndo utauziwa, sio moja moja,
Yani kwenye shipping hapo panaongeza sana gharama, unakuta pc ni laki 2 tu, ukija shipping kama dola 135 hivi takribani lako 3 hapo, yani hapo tayari bei ya usafiri ishazidi ya kununua, Ujanja hapa ni kuagiza nyingi tu ila chnagamoto ni mtajiUnaweza nunua ebay kma unataka moja. Zinakua juu kdg ila sio kma huku bongo. Shida inakujaga kwenye shipping. Shipping cost bei kubwa.
Kma ukijumlisha bei ya kununua na shipping yake ikawa bado bei ni ndogo kuliko kununua huku bongo we chukua tu. Tena hyo inakusaidia ikifika huku, VAT unalipia kwenye bei ya laptop tu (mf. hyo laki 2) na hawapigi percent kwenye shipping.Yani kwenye shipping hapo panaongeza sana gharama, unakuta pc ni laki 2 tu, ukija shipping kama dola 135 hivi takribani lako 3 hapo, yani hapo tayari bei ya usafiri ishazidi ya kununua, Ujanja hapa ni kuagiza nyingi tu ila chnagamoto ni mtaji
Kumiliki laptop ni Kitonga sana sahivi endapo utaweza kuagiza mwenyewe. Hizo laptop za USD 55 ikitua kariakoo ndio moja unauziwa kati ya laki 4.5 mpaka 7.5 hapo.
55 times 2320
$55 itakua used, mpya kwa uchache $200Kumiliki laptop ni Kitonga sana sahivi endapo utaweza kuagiza mwenyewe. Hizo laptop za USD 55 ikitua kariakoo ndio moja unauziwa kati ya laki 4.5 mpaka 7.5 hapo.
Nilitaka kuandika jibu.Laptop zao wanazitoa kwenye soko kama alibaba.
Huchukua mzigo mkubwa, wanasafirisha kwa meli/ air cargo.
Na kama ujuavyo computer and computer parts hazina kodi, wanalipia VAT basi.
Hivyo wakiondoa gharama za kuifikisha laptop nchini na wakaweka faida yao, bado wanapata faida kubwa sana.
Angalia kwa mfano hapa
View attachment 1546678
View attachment 1546680
Kwa mfano hizi laptop ukizifikisha nchini, na ukafanya timming ambapo first year ndio wanalipoti vyouni, Utaingiza fedha ndani ya muda mfupi sana sababu wewe utawafuata wateja wako vyuoni na utawauzia kwa bei nafuu.
Mkuu utajuaje bidhaa zisizo na kodi yaani ni vat tu kama ukiagiza ndo utalipiaLaptop zao wanazitoa kwenye soko kama alibaba.
Huchukua mzigo mkubwa, wanasafirisha kwa meli/ air cargo.
Na kama ujuavyo computer and computer parts hazina kodi, wanalipia VAT basi.
Hivyo wakiondoa gharama za kuifikisha laptop nchini na wakaweka faida yao, bado wanapata faida kubwa sana.
Angalia kwa mfano hapa
View attachment 1546678
View attachment 1546680
Kwa mfano hizi laptop ukizifikisha nchini, na ukafanya timming ambapo first year ndio wanalipoti vyouni, Utaingiza fedha ndani ya muda mfupi sana sababu wewe utawafuata wateja wako vyuoni na utawauzia kwa bei nafuu.
Pata HS Code ya bidhaa husika.Mkuu utajuaje bidhaa zisizo na kodi yaani ni vat tu kama ukiagiza ndo utalipia
Hs code ni nini?Pata HS Code ya bidhaa husika.
Tafuta Hii document yenye HS codes kwa Bidhaa ziingiazo tanzania.
Na utaona mchannganuo wote hapo wa bidhaa zenye kodi na zisizo na kodi.