Tupeane connection za kuagiza moja kwa moja laptops zinazouzwa bei nafuu Kariakoo

Pata HS Code ya bidhaa husika.

Tafuta Hii document yenye HS codes kwa Bidhaa ziingiazo tanzania.

Na utaona mchannganuo wote hapo wa bidhaa zenye kodi na zisizo na kodi.
Naomba link
 
Hizi mashine za wholesale changamoto huwa ni za specs ndogo, za specs kubwa kwa ajili ya kazi inakubidi kununua moja kwa moja.
 
Jamani nami natafuta laptop yenye Nvidia card ya 2Gb ninamdogo wangu Ni editor, amedai ndio itamfaa, wapi naweza pata Bei nzuri Kama ya jumla vile[emoji4]
 
Hs code ni nini?

Harmonized System
HS stands for Harmonized System. It was developed by the WCO (World Customs Organization) as a multipurpose international product nomenclature that describes the type of good that is shipped. Today, customs officers must use HS code to clear every commodity that enters or crosses any international borders.

Kwa ufafanuzi ukiacha hiyo gugo. Ni list ya vitu vyoye duniani unavyovijua na usivyovijua vimewekwa kwenye kitabu kimoja ambacho kinataja kila bidhaa na rate yake ya kodi kama kina import duty, ama hakina etc ni kama nomenclature ya bios 4m one
 
Ubarikiwe dear
 
Kumiliki laptop ni Kitonga sana sahivi endapo utaweza kuagiza mwenyewe. Hizo laptop za USD 55 ikitua kariakoo ndio moja unauziwa kati ya laki 4.5 mpaka 7.5 hapo.
Nikiagiza leo inachukua siku ngapi mpaka unanifikia?
 
Kama mwl alivyokuambia pc kwa bei nzuri unapata, changamoto kubwa ni kuzisafirisha kuleta huku hasa kama una mtaji mdogo. Laptop ni nzito na kampuni za usafirishaji wanachaji hela nyingi, unless unaleta kwa meli.

Na pia specs muhimu, core 2 duo kwa dola 54 bado ni ghali.

Kwa uelewa wangu china si mahala pa kutafutia computer, bei ghali sana, Usa ama Nchi zenye kodi ndogo kama Dubai, Malyasia etc unapata kwa bei nzuri zaidi.
Uki order bidhaa kwa meli hua inachukua muda gani mpaka kufika?
 
Hii ina apply kama unaleta Mzigo na Container, tembelea watu wa loose cargo watakupa maelezo zaidi. Cargo hizi za kawaida za middle east sometime mpaka miezi 2 inaweza chukua, ukibahatika mwezi.
 
Kuna kampuni moja hivi ya anga nimewauliza wamesema wao wanatoza dola 20 kwa kilo

Sasa mzigo naotaka kuagiza ni desktop all in one nikifanya estimation ni kama unaweza kucheza kwenye kilo 10+ ambapo kwa hesabu za haraka haraka ni kama 200k na upuuzi

Nikaona pengine labda huku kwenye meli kunaweza kukawa na unafuu ila hiyo pending ya miezi kusubiria mzigo nayo inatia mashaka na kukatisha tamaa
 
yap, desktop ni gharama kusafirisha, bora ununue hapa hapa na kui upgrade mwenyewe.

pia unaweza nunua mini pc ukaifunga nyuma ya monitor kupata all in one
 
Daah kwa tactics hiyo ya kubadili min pc kuiweka all in one kwa kutumia monitor hapa mkuu ndio nimeanza kupata shaka

Kwamba unaweza uka order pc ukijua ni original ambayo imetoka kiwandani kumbe imefanyiwa upgrading na wahuni kisha wanakuchapa kwa bei ile ile ya bidhaa yake halisi
 
Nunua website ya manufacture ama website kubwa kama Amazon, uhakika unapata kitu OG.
 
Back
Top Bottom