Codename96
Member
- Sep 17, 2020
- 90
- 85
Kama kichwa cha habari kinavyosema.
Ndugu zangu, mimi nataka kununua TV ya mtumba. Ila sijui nianzie wapi. Kariakoo nimeenda ila nimekuta TV nyingi pale ni za dukani (yaani mpya).
Kama kuna chimbo za TV za mtumba pale karikoo basi naombeni mwongozo wenu.
Au kama kuna muuzaji wa TV za mtumba humu basi ajitokeze. Nataka kuchukua TV mbili.