Tupeane connection za TV za mtumba

Tupeane connection za TV za mtumba

Kuweni makani nahayo matv ya mtumba kuna mengine yanakula umeme kama pasi [emoji2][emoji23][emoji24][emoji1787]
 
Yaan toleo latest kama hili useme ulaji wa umeme ,hata ukienda dukani kama hujui kuchagua vitu ,unachagua by mwonekano na sio spec utapigwa tu niletee tv yenys hiz spec dukani Tanzania kisha nitakupa laki mbili 43PUS8555/12 philips .Toleo ambalo ata ulaya bado liko dukani mkuu
 
Sasa mkuu we afadhali unajua kuna wengine hawajui na elimu hiyo hawana sister aliletewa Zawadi Nchi 70 Used Fanaleki matumizi yaumeme yakabadilika nilipokuja kuliona nikamwambia mchawi hii TV Kaiuza kaenda nunua za dukani Samsung latest
 
Mimi kama kitu sikielew lazima niwajuze wataalamu na nikichambue kipengele kimoja baada ya kingine ndio nifanye maamuzi ,amini mzee Used za Uk ni flagship na ni top quality kuliko hiz zinazoletwa huku Mataifa ya kimasikini hazilingani kwa lolote kikubwa kuchagua tu iwe nzima na ujue ni series ipi na ya mwaka gani na ina feature zipi uzitakazo
 
Ni kweli utofauti mkubwa upo macho Tu yanaongea Quality ya picture, colour, mwanga na sound zina kuwa unique kabisa tofauti nahizi Tv za mchina zilizopo madukani.
 
Sasa mkuu we afadhali unajua kuna wengine hawajui na elimu hiyo hawana sister aliletewa Zawadi Nchi 70 Used Fanaleki matumizi yaumeme yakabadilika nilipokuja kuliona nikamwambia mchawi hii TV Kaiuza kaenda nunua za dukani Samsung latest
Fanaleki 🤔?
.... au umekosea ku-type mkuu
 
Mi nilinununa mtumba wa hisense kutoka UK iko vizuri changamoto moja juu pande zote mbili za kioo mwanga unafifia mwanga mweupe ndo unatawala
 
Back
Top Bottom