Tupeane connection za TV za mtumba

Codename96

Member
Joined
Sep 17, 2020
Posts
90
Reaction score
85
Kama kichwa cha habari kinavyosema.

Ndugu zangu, mimi nataka kununua TV ya mtumba. Ila sijui nianzie wapi. Kariakoo nimeenda ila nimekuta TV nyingi pale ni za dukani (yaani mpya).

Kama kuna chimbo za TV za mtumba pale karikoo basi naombeni mwongozo wenu.

Au kama kuna muuzaji wa TV za mtumba humu basi ajitokeze. Nataka kuchukua TV mbili.
 
Kaka nahisi ule mtaa hujapita mda mrefu. Siku hizi pale kuna TV mpya zaidi ila vyombo vya nyumbani ndio vya mtumba. Mi juzi nilienda pale.
 
Kaka nahisi ule mtaa hujapita mda mrefu. Siku hizi pale kuna TV mpya zaidi ila vyombo vya nyumbani ndio vya mtumba. Mi juzi nilienda pale.
Anhaa basi ngoja hivi karibuni nitaenda kukata tiketi nitachunguza kisha nitarudi hapa Mwenyezi Mungu akitujaalia uzima. Maana nilivyopita wiki 2 kadhaa pale round about wanajenga shell sasa upande wa kushoto kwako kuna Maduka ndio TV zipo mpaka karibu na njia panda.
 
Anhaa! Unazingumzia ule upande wa kule. Ule upande baada ya kuvuka barabara kutoka sheli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…