Habari wana jf nimefungua mada hii ili tukutane au hata kama una ndugu mwenye tatizo la kutokusikia(kiziwi)ukubwani ili tuweze kupeana dalili za ugonjwa(ulemavu)huu ili tuweze kuokoa wengine wasipate tatizo hili na pia kwa wale waliopona hili tatizo sio mbaya wakija kutueleza walitumia nini ili na wengine tuweze pona