TUPEANE DALILI ZA ULEMAVU WA KUTOKUSIKIA UKUBWANI

TUPEANE DALILI ZA ULEMAVU WA KUTOKUSIKIA UKUBWANI

cute nee

Member
Joined
Jul 13, 2019
Posts
42
Reaction score
40
Habari wana jf nimefungua mada hii ili tukutane au hata kama una ndugu mwenye tatizo la kutokusikia(kiziwi)ukubwani ili tuweze kupeana dalili za ugonjwa(ulemavu)huu ili tuweze kuokoa wengine wasipate tatizo hili na pia kwa wale waliopona hili tatizo sio mbaya wakija kutueleza walitumia nini ili na wengine tuweze pona
 
Pole sana, una tatizo lolote linalohusiana na kutokusikia..
 
Back
Top Bottom