Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,828
Atakuwa anaulizia ya urembo.Miwani unayotaka ya macho au fashion?
Hapo aende duka za miwani akatest miwani atapata tu miwani inayomfaa....Atakuwa anaulizia ya urembo.
Maana kazungumzia kuvaa miwani myeusi usiku hapo
Hahahhaaaa miwani ya uso?Hiyo ni miwani ya USO sio ya macho!!!
Miwani zote ni za Macho Mjomba,Miwani unayotaka ya macho au fashion?
Ndio lkn siyo macho yote yanavaa miwani!Miwani zote ni za Macho Mjomba,
Hakuna miwani isiyovaliwa machoni
FashionMiwani unayotaka ya macho au fashion?
Kuna miwani transparent yenye frame nyembamba hiyo inafaa mtu mwenye sura pana kidogoFashion
Akhsante mkuuKuna miwani transparent yenye frame nyembamba hiyo inafaa mtu mwenye sura pana kidogo
Kuna mingine ni tinted ina frame nene hii inawafaa zaidi wenye sura nyembamba afu mweupe/ maji ya kunde
kiswahili ni shidaHahahhaaaa miwani ya uso?
Nzuri lkn natafuta ya kwangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo ni miwani ya USO sio ya macho!!!
Habari mkuu. Mi natafuta miwani ya jua. ya kiume. style ya aviator. Iwe na 100% UVA&UVB protection maana naona jua linaniletea mushkeli hadi niweke kacap na mkono ndiyo naona fresh. Size isizidi 55mm. nilikuwa nachekicheki nikaona brand ya Duduma kama itanifaa. bei isizidi 20 usd. Unaweza nisaidia makarateka ya kuagiza?View attachment 698924
Hii miwani ni kwa madereva, Hasa Usiku (Night Vision Glasses);
Hii hata upigwe na mwanga gari (Full light) , hautoweza kuumia macho na kutetereka na utaona vyema.
- Ziko hapa: NightVisionGlass