Tupeane elimu kuhusu Uvaaji miwani

Tupeane elimu kuhusu Uvaaji miwani

Bigbootylover

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
2,847
Reaction score
1,828
Ikiwa mtu anapenda kuvaa miwani huwa kuna brand flani special, yaani kama ilivyo katika bidhaa nyingine kama perfume au lotion na kama ipo ni brand gani nzuri?

Na je kama mtu hupendelea kuvaa miwani kila muda usiku unapoingia inafaa avae miwani ipi ili asiingie katika mtego wa kuvaa miwani ya jua usiku? watu wenye sura zipi hupendeza wakivaa miwani, sura pana au nyembamba? Msaada tafadhali
 
Vaa miwani ya mbao mkuu, utakuwa unique sana na amini nakuapia utapata followers zaid ya bilionea wa lugumi
 
b7e51b399aabbb26dca39be7901e6e11.jpg


Cjui chochote kuhusu miwani, wala cjawai kavaa

Ila hii ya huddah nimeipenda kwakwel, nataman kuwa nayo

Yenyewe Naic inavaliwa muda wowote
 
Sipendi kuvaa miwani kwa sababu kila nikivaa ni kama inaleta shida kwenye uono wangu. Vile vile sifahamu aina zaidi ya kuona wamachinga wakiuza.
 
Kuna miwani transparent yenye frame nyembamba hiyo inafaa mtu mwenye sura pana kidogo

Kuna mingine ni tinted ina frame nene hii inawafaa zaidi wenye sura nyembamba afu mweupe/ maji ya kunde
 
Kuna miwani transparent yenye frame nyembamba hiyo inafaa mtu mwenye sura pana kidogo

Kuna mingine ni tinted ina frame nene hii inawafaa zaidi wenye sura nyembamba afu mweupe/ maji ya kunde
Akhsante mkuu
 
[emoji41] Sie wengine tunavaa goggles[emoji41] , tena zinafaa kwa mchana na usiku[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
c06ca952a13706cf3b613dda0c50b94c.jpg
 
View attachment 698924
Hii miwani ni kwa madereva, Hasa Usiku (Night Vision Glasses);

Hii hata upigwe na mwanga gari (Full light) , hautoweza kuumia macho na kutetereka na utaona vyema.
Habari mkuu. Mi natafuta miwani ya jua. ya kiume. style ya aviator. Iwe na 100% UVA&UVB protection maana naona jua linaniletea mushkeli hadi niweke kacap na mkono ndiyo naona fresh. Size isizidi 55mm. nilikuwa nachekicheki nikaona brand ya Duduma kama itanifaa. bei isizidi 20 usd. Unaweza nisaidia makarateka ya kuagiza?
 
Back
Top Bottom