Black billionaire
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 455
- 526
We kinabo
Niambie mkun’d
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kinabo
Daah sie ndio tupo kwenye hicho kipindi ulichopitianakumbuka kazi yangu ya kwanza niliipata 2014 hpo chuo nimemaliza 2013,,nilifanyiwa connection basi nikapaka kazi,,nikafanya hadi 2015 mwezi wa 12 nikapiwa redundancy,,nikarudi mtaani nikasota sana mtaani zurula sanaa nchi hii kufanya interview mikoa mingi sana nimefika ila sikubahatika kupata kazi nikaanza biashara zikabuma nikarudi kusota tena kutafuta kazi apply kila mahali ila wapi na kuna muda interview zikagoma kabisaa tangu 2018 sikufanya usaili wowote, but mwaka 2021 ulikua ni mwaka wangu wa bahati sana sehemu niliopata hii kazi ni Mungu kahusika na kasikia kilio changu cha muda mremfu na nilipata interview 3 ndani ya wiki 2 hata sikuamini nilijiuliza siku zote hizi interview zilikua wapi,,sasa niko kwenye kampuni nzuri sana mshahara mzuri sana,,,Wasoteaji msikate tamaa kabisaa njaa ikizidi ujue neema inakaribia,,nikikumbuka kuna kipingi nilikua sina hata mia