Iluko wapi na unalima niniNjoo ulime huku niliko
Nipo Songea njoo ulime mahindiIluko wapi na unalima nini
Sawa mkuu..ila mahindi nmelima msimu huu..nataka niwekeze kwenye horticulture.Nipo Songea njoo ulime mahindi
Okay lakini pia ukiwa tayari kulima tangawizi utaniambiaSawa mkuu..ila mahindi nmelima msimu huu..nataka niwekeze kwenye horticulture.
Unawasafirishaje bila kuongeza gharama kubwa ?Kwa mwenye mtaji ambaye yuko Dsm nakushauri ingia kwenye biashara ya dagaa waliokaangwa toka mwanza.Faida si chini ya 40% ya mtaji utakaowekeza kwa mwezi.Ni biashara inayokua kwa kasi kubwa.
Kwa kutumia malori ya mizigoUnawasafirishaje bila kuongeza gharama kubwa ?
Nitumie namba zako tuzungumze kihusu hiyo fursaKwa mwenye mtaji ambaye yuko Dsm nakushauri ingia kwenye biashara ya dagaa waliokaangwa toka mwanza.Faida si chini ya 40% ya mtaji utakaowekeza kwa mwezi.Ni biashara inayokua kwa kasi kubwa.
Nimekutumia,cheki PmNitumie namba zako tuzungumze kihusu hiyo fursa