Tupeane fursa!

Tupeane fursa!

.....naona vyuma vimekaza kweli kweli,mishahara inalipa madeni kisha watu wanakopa tena,ni vema tupeane mbinu mbadala....tuambie we ulitoboaje,unapiga ishu gani mda huu....walau tugawane griiiis,hali co poa wajameni...
 
mm nimfugaji wakuku wa kienyeji nina kuku weng zaid ya 100 wenye 3-4 kg mwenye bei nzuri yuko wap
 
Kwa mwenye mtaji ambaye yuko Dsm nakushauri ingia kwenye biashara ya dagaa waliokaangwa toka mwanza.Faida si chini ya 40% ya mtaji utakaowekeza kwa mwezi.Ni biashara inayokua kwa kasi kubwa.
 
Unawasafirishaje bila kuongeza gharama kubwa ?
 
Kwa mwenye mtaji ambaye yuko Dsm nakushauri ingia kwenye biashara ya dagaa waliokaangwa toka mwanza.Faida si chini ya 40% ya mtaji utakaowekeza kwa mwezi.Ni biashara inayokua kwa kasi kubwa.
Nitumie namba zako tuzungumze kihusu hiyo fursa
 
Back
Top Bottom